I😆😆😆 unajua kweli hesabu ww46% rounded off to the nearest 10 is equal to 50%.
World Bank ikisema mmeingia uchumi wa kati mnaisifia sana, lakini ikisema nusu ya watanzania ni masikini wa kutupwa mnaanza kumwaga povu na vilio.Tafiti za Wakenya hizi. Wakenya mna gubu kichizi. Gubu linawasaidia Nini?
Hii ni tafiti wa World Bank. Nusu ya Walazy ni masikiniTafiti za Wakenya hizi. Wakenya mna gubu kichizi. Gubu linawasaidia Nini?