yaani ni shiiiida me kunammoja kanambia wana shortlist mwezi wa 7wakuu hawa jamaa ni matapeli sijawahi ona. Mbona hawatoi majina kama walivyotoa majina ya shortlisted kwa ajiri ya written. Ni wezi waubwa. Mara wengine wanasema walipigiwa , mara wengine wanasema wakishaajiri kitambo.... sasa ukweli ni upi? Nchi hii urasimu ni wa hali ya juu hasa katika taasisi za umma.
ingekua vizuri wangejibu walipigiwa kwa post zipi ?? hawa WCF ni wasanii hamna bongo nzimaa...waanike majina kama walivyoanika mwanzoni..NJOONI MMUJIBU MWENZENU MLIOPIGIWA SIMU MMEITWA. KWA POST ZIPI?
POVUAliyeko Dar afanye mchakato wa kufika ofisi zao na kuconfirm........ wasanii sana hawa.....sijui JPM kwanini asiwatumbue hawa wezi kama walivyofanywa TIB piga chini wakurugenzi wote na kuweka wachapa kazi... ofisi imekua shamba la bibi kujazana maanko na binamu