Workers Compensation Fund

benja

JF-Expert Member
May 10, 2011
318
196
Hivi hawa jamaa baada ya ule mtihani pale IFM kilichofuata ni nini????? wamekwisha ajiri ama??? mwenye taarifa yoyote tafadhali
 
wakuu hawa jamaa ni matapeli sijawahi ona. Mbona hawatoi majina kama walivyotoa majina ya shortlisted kwa ajiri ya written. Ni wezi waubwa. Mara wengine wanasema walipigiwa , mara wengine wanasema wakishaajiri kitambo.... sasa ukweli ni upi? Nchi hii urasimu ni wa hali ya juu hasa katika taasisi za umma.
 
yaani ni shiiiida me kunammoja kanambia wana shortlist mwezi wa 7
 
Aliyeko Dar afanye mchakato wa kufika ofisi zao na kuconfirm........ wasanii sana hawa.....sijui JPM kwanini asiwatumbue hawa wezi kama walivyofanywa TIB piga chini wakurugenzi wote na kuweka wachapa kazi... ofisi imekua shamba la bibi kujazana maanko na binamu
 
POVU o_O
 
Back
Top Bottom