Words Women Use

Words Women Use;

"Huli???"
..Swali hili mara nyingi linakuja pale chakula kishatengwa mezani, yeye ameshakaa mezani tena keshaanza kula! mind you, kawaida yke ni kukwambia 'chakula tayari mume wangu'.

"Usiniguse!!!"
..Imagine unataka kuua so japo kwa kumpa 'usiku mwema' mwenzako, hapo inakubidi spidi ya kuurudisha mkono iende sambamba na spidi linapotoka tamko hilo!

..mara;msonyo mkali una 'pierce your ears'!!!!,

kisa...unagara gara kitandani ukihesabu boriti, maana usingizi haupatikani, na wakati huo huo unajiuliza kesho ikiwa hivi sijui usirudi nyumbaniiii...???

Mtu anatenga chakuka unamwangalia hata hushituki kujuwa kwamba unahitaji kuja kula mpaka akuambie ... na maji bafuni akwambie ... kila kitu tu akuambie atafanya mangapi jamani????.

Kwa staili hii ya utumwa .. kila kitu nikufanyie hata kukushtua ubongo ilihali macho yako yanaona .. kutwa nzima nakuhangaikia kukupia kukufulia na maandalizi mengine ya nyumbani ... hata neno zuri hunipi unataka tu haki yako .. hakiyanani sikupi .. kwani hamna raha bali itakuwa ubakaji na karaha tu .. akilazimisha unamwambia haya fanya ukimaliza nifunike ... unamwacha anakukuruka mwenyewe kwani ndiye mwenye raha
 
ndio ufisadi wenyewe huo, labda wanataka rushwa. Waweza fanya jaribio....siku ukiona mwandani hagusiki basi toa kitu kidogo! BTW ndio lugha za kike hizo, excuse zikizidi ujue kuna jambo!

Mchongoma

kwi kwi kwi, nahisi ume-exagerate, kama ndio hali halisi poleni sana!

By the way wanadamu tuko tofauti, so nguzo kubwa katika mahusiano ni mawasiliano, kukubali kukosolewa, kuvumiliana na mengine kama hayo. Naamini hakuna binadamu aloperfect, hivyo kumridhisha mwenzi wako 100% ni ngumu mno, lakini huo msonyo wa usiku mwema haujengi zaidi ya kubomoa.

...'naimaomar' yaonekana mtu kama weye utanifanya bora niwe nakula chipsi tu!
 
Hapana ... nahitaji kubembelezwa kusifiwa, kushukuriwa, kuhurumiwa kusaidiwa na si kukosolewa, kuheshimiwa ... kwani mwengine akiwa keshashiba huko nje utamsikia akibwata jumvi nyingi ilimradi apate sababu ya kususa chakula na akutie aibu hata mbele ya watoto.... all in all my efforts MUST be appreciated.

U know something Mchongoma???? kitu sifa kinaweza kikampa mtu nguvu za ajabu ... utafanya hata kile ambacho kinafanywa na watu kumi pekeyako, ni chachandu kusema kweli kwenye mapenzi.
 
Wee Naima....umeolewa? una bwana? au uko singo?
 
Lazima tuelewe kuwa kupenda ni matendo, si hisia, watu husubiri hisia mwilini ndio wajue wanapenda au kupendwa, la hasha hiyo inaitwa tamaa ya mwili.
Upendo wa manufaa katika kuishi pamoja ni wa matendo.
Kupenda ni kuamua kufanya matendo ya upendo basi.
Kama kauli, huduma nk. ni umamuzi wako kufanya au kuacha.
Ukiniambia unanipenda wakatu huna uwezo wa kuamrisha mwili wako (mdomo-kauli, sura-tabasamu, mikono au miguu-kusaidiana, na viungo vingine) hata uniambieje kuwa unanipenda sitakuelewa.
Kama huwezi kusema asante, huwezi kunionea huruma kwa matendo, huwezi kujitoa kunihudumia km ndoa nk, huwezi kunikumbuka kuninunulia zawadi, huwezi kunipikia vizuri ni bure kukutana kimwili kwa staili zote kila baada ya robo saa, furaha haitapatikana kabisa.
Habari ndio hiyo.
 
Naam!
Niliwahi kutafuta maana ya neno LOVE; definitions ziko nyingi zinazokubalika.
Nilipoona definition ifuatayo, sikuhangaika tena.

Love is a choice.​

Ukifanikiwa kuwa na mindset hiyo, huenda ikakusaidia kama nilivyonufaika nayo.

.
 
Majibu mlompa mchongoma nimeyakubali.
Kama mchangiaji alivyoeleza hapo juu "excuse zikizidi ujue kuna jambo!"

.
 
Words Women Use;

"Huendi kazini leo????"
..ndio kwanza umeamka, hamna salamu wala nini, ...ujue enhe, kumekucha! ~handle with care!~, la sivyo siku yote itaishia hivyo hivyo!

"Kwani hujui????"
..ndio kwanza umemshusha kazini kwake, unamuuliza saa ngapi muda muafaka wa kwenda kumchukua baada ya kazi

"Huli???"
..Swali hili mara nyingi linakuja pale chakula kishatengwa mezani, yeye ameshakaa mezani tena keshaanza kula! mind you, kawaida yke ni kukwambia 'chakula tayari mume wangu'.

"Hulali leo???"
..swali la Saa sita usiku hapo, umejikunyata kwenye sofa unabadilisha channel za Tv kama unatumia calculator vile, kuvuta muda wa kwenda kulala, maana mchana kutwa wewe na mamsapu communication ilikuwa 'not richabo!', yeye kauvuta mdomo, na misonyo kwa wingi, wewe ukiwa confused ndani ya 'kikaango'!

"Usiniguse!!!"
..Imagine unataka kuua so japo kwa kumpa 'usiku mwema' mwenzako, hapo inakubidi spidi ya kuurudisha mkono iende sambamba na spidi linapotoka tamko hilo!

..mara;msonyo mkali una 'pierce your ears'!!!!,

kisa...unagara gara kitandani ukihesabu boriti, maana usingizi haupatikani, na wakati huo huo unajiuliza kesho ikiwa hivi sijui usirudi nyumbaniiii...???

Oh no!
Not normal!
Something must be wrong somewhere!
Kwa hali hii, hata yeye hatakuwa na 'peace of mind'
This is the worst scenario ever!
 
Mtu anatenga chakuka unamwangalia hata hushituki kujuwa kwamba unahitaji kuja kula mpaka akuambie ... na maji bafuni akwambie ... kila kitu tu akuambie atafanya mangapi jamani????.

Kwa staili hii ya utumwa .. kila kitu nikufanyie hata kukushtua ubongo ilihali macho yako yanaona .. kutwa nzima nakuhangaikia kukupia kukufulia na maandalizi mengine ya nyumbani ... hata neno zuri hunipi unataka tu haki yako .. hakiyanani sikupi .. kwani hamna raha bali itakuwa ubakaji na karaha tu .. akilazimisha unamwambia haya fanya ukimaliza nifunike ... unamwacha anakukuruka mwenyewe kwani ndiye mwenye raha

hapo umenena..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom