Tanzania is really getting a beating by Algeria

sam999

JF-Expert Member
Jul 31, 2013
699
108
Niliweka Algeria win sportpesa and BOY am u waiting for that win God willing

Tanzania imepata 6 yellow cards

1 red card

And 5 goals to nil

Waaaah!!! Aiseeeey

Cape Verde v kenya 0-0 37'
 
Algeria 7-0 Tanzania 74'
Woooow what is Tanzania doing!!!
 
hahaa......Tanzania na sports wapi na wapi?ka lupita ny'ongo na wema sepetu vile
 
So the commentators on super sport trying to console Tanzania


This is not gonna be their worst loss

Kenya beat Tanzania 9-0 in (1956)

Now

Algeria beating Tanzania today 7-0 (2015)



Wooow
 
How did that Tanzanian miss that he had gone past the keeper he was alone with the goal post alafu anafunga nje'

91'
 
1956 kenya 9-0 Tanganyika
2015 Algeria 7-0 TanzaniA


Worst Tanzanian losses in football history EVER
 
Hehehehe!! nishawaambia mara nyingi Wabongo hampo tayari kwa mambo ya kimataifa/globalisation. Mbakie humo humo Bongo na mambo ya Simba vs Yanga na viduku usiku.
Hii aibu mjifiche mvunguni, ama mfute kama mlivyofanya uchaguzi wa Zanzibar
msemakweli MOTOCHINI kadoda11
 
Last edited by a moderator:

Attachments

  • 1447792568505.jpg
    1447792568505.jpg
    68.8 KB · Views: 497
Jameni,saba?Mamaaeeh hii ni HUUJUMAA!Usiniambie hiri wara rire,ni hujuma aisee,ni huujumaa!
 
Niliweka Algeria win sportpesa and BOY am u waiting for that win God willing

Tanzania imepata 6 yellow cards

1 red card

And 5 goals to nil

Waaaah!!! Aiseeeey

Cape Verde v kenya 0-0 37'

I can see you beating cape verde and progressing to the group stages.

Oh and BTW theres no way I see you profiting from the 1.15 Algeria odds.

:lol: :lol:
 
Hehehehe!! nishawaambia mara nyingi Wabongo hampo tayari kwa mambo ya kimataifa/globalisation. Mbakie humo humo Bongo na mambo ya Simba vs Yanga na viduku usiku.
Hii aibu mjifiche mvunguni, ama mfute kama mlivyofanya uchaguzi wa Zanzibar
msemakweli MOTOCHINI kadoda11

Masuala ya kimataifa hawawezani nayo kabisaa. Lakini si nilidhani kwa mpira wako angalau afadhali.....sasa hii!
What then are these pipo really good at, kubeza tu?
 
Last edited by a moderator:
Masuala ya kimataifa hawawezani nayo kabisaa. Lakini si nilidhani kwa mpira wako angalau afadhali.....sasa hii!
What then are these pipo really good at, kubeza tu?

Hao ni wataalamu wa kufanya kwa mdomo,ukiwasikia wakiongea utadhani hata brazil wataona uoga kusakata nao dimba.Ikifika ni kufanya,hao!wameingia maficho vijiweni!
 
Wachezaji wana slogani kwamba hata wakishindwa watajecha na kulubuva matokeo. Kwani hamkumsikia Pinda "acha wapigwe tu". ccm oyeeeeee
 
Hao ni wataalamu wa kufanya kwa mdomo,ukiwasikia wakiongea utadhani hata brazil wataona uoga kusakata nao dimba.Ikifika ni kufanya,hao!wameingia maficho vijiweni!

Wanariadha wa Kenya kibao wanafanya doping

IAAF, IOC na wengineo wameamua kukomaa na Wakenya.
 
  • Thanks
Reactions: Art
Mie kwenye siasa tutakuwa wote ila hili la mpira la leo usiwaseme wale vjana pia nahisi wewe ungekuwa tunakutana tuu kwenye siasa huku kwenye mpira wala ukujui ila kwakuwa watz kila kitu tunajua ngoja nikupe faida, wale algeria wanamlipa kocha ela kibao na timu nzima wanacheza ulaya wako kwao na bado wanaonga na refaree kabla ya dk ya 15 wachezaji wa 3 mabeki wote wana kadi za njano.

Na dk ya 30 anapewa mchezaji wetu red kadi katika mazingira yale hakuna hata kadi ya halali hata moja zote za kuonewa bado wanapewa penati za kutengeneza we ulitegemea nini?

Hata spain kwa mtindo ule lazima wafungwe tuu, jamaa ile mechi ya kwanza iliwasitua sana wakafanya maandalizi ya polini na ndio matokeo yake, usipende kujidharau unajua na wala hatukufungwa kwamba hatujui na ndio rushwa inayopigwa michezoni na ndio hayo mabadiliko wakubwa wanataka kufanya fifa, yaani acha anayejua na ashinde kihalali.

Mechi ya leo naweza kuchukulia unaenda kupigana na mwenzio alafu wewe mikono imefungwa kwa nyuma unategemea nini? Ile caf inahitaji mabadiliko labda unitafute nikuelezee, wewe tanzania uko kwenye kushindana mwenzako anataka matokeo na ujue kwa africa uwa hakunaga mwakilishi wa kweli kwenye world cup kwani kilichotokea kwao algeria cameroun ivory coast na ghana ni aibu na mwisho wa siku ni hao hao watakuwa wawakilishi wetu.

Na wazungu ukiwatajia mpira africa wanawataja hao kumbe kuna timu zina uwezo ila hazipati nafasi kwani caf yote ina milikiwa na francofone au french speaking country we kama ujui njoo nikueleze sio unazungumza utumba kwakuwa unasehemu ya kusemea inatakiwa tukae tusaidiane aibu ni yetu wote.

We unaleta masihara.
 
Back
Top Bottom