M mjomba 1 Senior Member Jul 19, 2013 104 29 Dec 19, 2013 #5 tyta said: Click to expand... what is this?
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Dec 19, 2013 #6 Patrickn said: Wanasoma vidudu Click to expand... Yeah...na lunch boxes sijui wameziacha darasani lol
Patrickn said: Wanasoma vidudu Click to expand... Yeah...na lunch boxes sijui wameziacha darasani lol
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Dec 19, 2013 #7 kabanga said: duh... mwalimu wao yukoje...? Click to expand... Umenifanya nicheke sana...
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,202 18,472 Dec 19, 2013 #9 farkhina said: Umenifanya nicheke sana... Click to expand... na tucheke pamoja.... teh teh teh!
charger JF-Expert Member Nov 21, 2010 2,320 1,369 Dec 19, 2013 #10 Huyu mmoja sare zake kama mfanyakazi wa shirika moja la ndege hapa nchini
Threesixteen Himself JF-Expert Member Feb 12, 2013 8,223 7,993 Dec 19, 2013 #11 ! ! we si unajidai unajua sana kupiga wanawake!jaribu mziki huo uone balaa lake Tyta said: Click to expand...
! ! we si unajidai unajua sana kupiga wanawake!jaribu mziki huo uone balaa lake Tyta said: Click to expand...
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 19, 2013 Thread starter #14 charger said: Huyu mmoja sare zake kama mfanyakazi wa shirika moja la ndege hapa nchini Click to expand... mkuu unautani na watu...
charger said: Huyu mmoja sare zake kama mfanyakazi wa shirika moja la ndege hapa nchini Click to expand... mkuu unautani na watu...
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 19, 2013 Thread starter #15 mwallu said: wacheza netiboli au Click to expand... hahahahah...hapana
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,833 155,780 Dec 19, 2013 #16 Tyta said: Click to expand... Kumbe hawa ndio masharabaroooo!!!!!!! ;Kati ya hawa wawili yuko wapi Diamond wa Wema Sepetu??
Tyta said: Click to expand... Kumbe hawa ndio masharabaroooo!!!!!!! ;Kati ya hawa wawili yuko wapi Diamond wa Wema Sepetu??
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 19, 2013 Thread starter #17 farkhina said: Yeah...na lunch boxes sijui wameziacha darasani lol Click to expand... wanashare hilo....
farkhina said: Yeah...na lunch boxes sijui wameziacha darasani lol Click to expand... wanashare hilo....
F farkhina Platinum Member Mar 14, 2012 14,568 16,906 Dec 19, 2013 #18 Tyta said: wanashare hilo.... Click to expand... Hahahhhhahha lol.....na lilivo lilubwa wala hawawezi kubeba si umeona school bag zao zilivo.....
Tyta said: wanashare hilo.... Click to expand... Hahahhhhahha lol.....na lilivo lilubwa wala hawawezi kubeba si umeona school bag zao zilivo.....
bysange JF-Expert Member Jan 11, 2011 4,456 1,563 Dec 19, 2013 #19 Tyta said: Click to expand... shabash! hawa si watakuwa kwenye mafunzo ya mieleka kweli...
Tyta JF-Expert Member May 21, 2011 12,767 10,526 Dec 19, 2013 Thread starter #20 farkhina said: Hahahhhhahha lol.....na lilivo lilubwa wala hawawezi kubeba si umeona school bag zao zilivo..... Click to expand... chunguza tena mikono yao....uone misuli ilivyojengeka...mzigo wa lunch box huo...
farkhina said: Hahahhhhahha lol.....na lilivo lilubwa wala hawawezi kubeba si umeona school bag zao zilivo..... Click to expand... chunguza tena mikono yao....uone misuli ilivyojengeka...mzigo wa lunch box huo...