Wonders will never end...!

Jaber Job

Senior Member
Oct 2, 2013
121
62
ImageUploadedByJamiiForums1388474516.764647.jpg
 
Huyo dem punguani kabisa. Yani wewe unatumia Nokia kitochi halafu yeye anataka nini ati!?! Awaulize wataalam wa kuchuna watu mjini kwanza...au arudi Milembe!
 
Aungane na punda wabeba 'sembe' iliazidi pata raha kabla ya kujiunga china.
 
Huyo dem punguani kabisa. Yani wewe unatumia Nokia kitochi halafu yeye anataka nini ati!?! Awaulize wataalam wa kuchuna watu mjini kwanza...au arudi Milembe!

Umejuaje kama demu jamani?
 
duuh inamaana ni mario, yaani kijana anamlilia shuga mami amnunulie simu ingine? au shoga anaomba simu mpya kwa mume wa mtu astaghafilulaahh walaah!!!!

Yote yanaweza yakawa ni majibu sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom