Wonders shall never cease

heheeeee...magufuli nyoroshe wote...hakikisha wanalipa kodi mpka ya kuvuta hewa...yani mpka raa...povuuuuuuuu...
bwahahaaaa.....

mtaisoma namba...hataki kujuwa km wewe ccm au nani...ndio manake wakulu wenu wanabadilisha kauli zao baada ya vitisho....maskini tanzania
Khah! eti kodi ya kuvuta hewa. Ina maana kila kitu wanalipia kodi hadi mapenzi na ndio maanaDada zao wanateseka
 
Alafu pote huwa wanashindwa na ukitaka nairand wakuone boya jitambulishe kama mkenya aise

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Mstcheeeeeew!kwani nyie na hao was nairaland ni hewa tunayopumua mkituchukia tutakata roho .nyinyi na wanaijeri mnaongoza kwa uchawi na ulanguzi wa dawa za kulevya.kwanza wanaija wanachukiwa sana popote waendapo
 
Khah! eti kodi ya kuvuta hewa. Ina maana kila kitu wanalipia kodi hadi mapenzi na ndio maanaDada zao wanateseka
yani jane wacha2...sai hko mpka wausza scrape hko wanatakiwa wajiandikishe ili wapewe vibali ..

ama labda hyo ndio ile employment kwao
..manake jana nashangaa ichoboy hajui maana ya "self employed"...kumbe unemployment kw ldc inamaanisha wale watu ambao hukaa nyumbani bila kujishughulisha na chochote...

lkn makanga ,machinga,waganga kwao kumbe ni wafanyikazi
 
you r so insecure trolls. I didn't even mention your country anywhere.
Anyway, the chain of hunger has been broken.
View attachment 1050042View attachment 1050043
GOLDEN HEARTS👆👇
FB_IMG_15533662826476393.jpg
FB_IMG_15533661694111718.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom