Women's Lingerie and technological evolution

Hardwood

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,020
1,032
Women's lingerie.jpg Wanajamvi nimeona niwaletee mabadiliko ya fashion ya nguo za ndani za kina dada. So far, wapo kwenye BIKINI stage.... What next?
 
Wamesha vuka na bikini bwana, we huoni picha za dada zetu clubs? wanatembea tu Chupi-less bila wasi wasi.
 
U can't blame the designers,nor can u blame us! With the current shortage of everything! Huoni hiyo teitei ya mwanzo material yake inatoa hizo g-string 100!
 
What next?! We namna gani, unauliza mawe mlimani? Au unataka wawe wanatembea nazo wameshilia mkononi ndo ujue kuwa huko down zimeshagoma kukaa?
 
Mazingira yetu kwa kawaida ni machafu hata hizo clubs vumbi kibao tu na hivyo nirahisi kwao kupatwa na magonjwa kwa stage waliofikia ya chupiless. nadhani ndio maana masista du kibao siku hizi wanasumbuliwa na miwasho ya ajabuajabu na UTI
 
Kuna aina nyingi na kila moja na kazi yake hivo tulia mkuu, na kuna wakati inahitaji usivae pia.... (tatizo ni pale tu watumiaji kama hawajui wapi watumie ipi ama wasitumie kabisa)
 
Kuna aina nyingi na kila moja na kazi yake hivo tulia mkuu, na kuna wakati inahitaji usivae pia.... (tatizo ni pale tu watumiaji kama hawajui wapi watumie ipi ama wasitumie kabisa)

faffanua kidogo...............................matumizi yake
 
dahhhh hiyo ya kwanza ni suruali jamani..
na ya pili ni bukta....
ya tatu ndo chupi
ya nne ni naniliii..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom