Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses

...Hapo ndio hurudi kwako tena na hukawii kutangaza harusi kwa kunogewa na utamu.:majani7:

unashangaa hiyo, kuna kitu kinaitwa fungu la mia tano.

Ni majani hayo, yanalazwa huko kwa siku nzima, ole wako uguse, unang'anga'nia hadi miguu.
 
Asante Mtambuzi ngoja nikafanye uchaguzi madukani ntawapa feed back. Last time nilimnunulia mume wangu Chanel..baada ya muuzaji kuisifu; nilichochemsha ni kuwa nilikuwa convinced na muuza duka aliponambia hii ni new perfume for men, nikanunua...kumbe si kila kipya ni kinyemi. Haina harufu mbaya lakini si kama zile nazosikia watu wakinukia. Kuna watu wananukia hata akitumia lifti anaacha harufu nyuma...harufu ambayo inaita haifukuzi. Hiyo ndo nataka. Lol.

Halafu mkishapiga pamba zenu na kujipulizia uturi wewe na your hubby mnatoka kwa mtindo huu......LOL

88622923.jpg
 
Watu wanaiga sanaaaaaaa bana.. Kupitilizaa. Na huu utandawazi tena astaghafirulaah sijui douche na madudu dudu mengine. Hizo vajay zitakujaka kuwaka MOTO lol.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kaka nakusalimia tu.
:yo::yo::yo::shut-mouth::A S shade:

madamoiselle is also cool. Basi weye tumia body splash tu za kina victoria secret ama bath and body works, achana na perfumes. But i love perfumes on frehsly pressed clothes. Ndo ulevi wangu, lakini navaa kiduchu sio kukomeshea. Perfumes za kiume ni nzuri ila muambie baba mkubwa ajiturike afu umnuse,lol
NImeshatumia Euphoria ikanishinda...kwa sasa nina COCO Mademoiselle nadhani ntampa mama yangu soon.

Nimeamua kuanzia sasa naanza kutumia perfume za kiume...nadhani hilo ndio suluhisho...kwa sababu sijwahi ku tolerate perfume yeyote ya kike. Nilishawahi ugue athma nikiwa mdogo...kwa hiyo kwa sasa ni full allergy.

heeeh!
ngoja nikalale manake kesho shule. Sasa kwani kingledha mi sijui? Si ndo akademia tunafundishwa!.
Kwanza hujaalikwa kwenye huu uzi.. wanaotakiwa kuchangia ni wale tu niliowa TAG tu, wewe umefikaje humu...! halafu huoni nimetumia KIINGELEZA hapo .......
Wanaotakiwa kusoma na ku comment ni above 18....LOL
 
Hahaha, siku hizi kuna shabu. Sasa hivi utasikia tuwekee cement!
Watu wanaiga sanaaaaaaa bana.. Kupitilizaa. Na huu utandawazi tena astaghafirulaah sijui douche na madudu dudu mengine. Hizo vajay zitakujaka kuwaka MOTO lol.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wataaluma wanasema perfume inatakiwa kublend na natural smell yako. Sio lazma inayonukia vizuri kwangu nawe ikunukilie vizuri. Unapuliza kiduchu kwenye wrist. Usisugue, acha ikauke naturally. Iache kutwa nzima na ujinuse jioni. Unaweza kununua tester kadhaa na kujaribu kila moja.
Aisee, mie nikimsikia mkaka ananukia utamu ama amependeza wala siogopi kumuuliza kapaka nini! I can stop a stranger na kuuliza. Na akitaka gumzo zaidi mbona tunafunga mjadala kistaarabu tu.
Thank you so much. Nilikuwa nafikiria ntaanzaje...maana natamani kuwauliza wanaume wanaonukia wanatumia nini...lakini nilikuwa naogopa wasije dhani nimewazimikia. Kuna perfume za kiume zinanukia utadhani ndimu si ndimu...so sweet. Ntanunua nitumie na mume wangu.

Nilipanga kwenda kufanya research ya kunusa kwanza madukani. Lol.
 
Inaelekea kuna vikundi vingi fesibuku eeh

Niliwahi alikwa kikundi kimoja...mbona walinifuta muda si mrefu walipoanza kuchuja members wasiochangia mada.

Mimi kwa wanaonijua nakuwa domo zege kweli kwani najua kila ntachoandika kinaweza kuwekwa masikio macho na pua.

Sipendi wanaonijua wanijue zaidi ya juu juu. Lol.

Mashostito hawanielewagi kabisa na wanashindwa waniweke kundi gani.

Mfano mtu anakuja na stori FB "mume akiwa na tabia ya kuchelewa kurudi..mke ufanyeje?" Sasa kwa mwenye akili hapo si umeuza siri za ndani kwa wanaokujua wajameni?

Ndio maana mi FB yangu humu humu JF MMU.



best usishangae. Things women do kuwaridhisha ama kuwavutia wanaume, nadhani wengine wanajidhuru aisee. Hiyo ya kujiswafi na mswaki niliiona fesibuku, nilichoka jumla. Na huwashawishi, wanajuaji kweli!
 
117.jpg


Your vagina doesn’t have to smell like roses
Or be “douched.” Just because hundreds of products have been created to help you “clean up” your vagina, doesn’t mean that’s what men want. If you like to use those products—okay. But don’t use them out of insecurity. A vagina is meant to smell like a vagina.

93.jpg





615.jpg
hpo kwenye Red umenena ukweli mtupu Mtambuzi......
 
maskini mateka:(:mad::rolleyes:
Sasa unamhurumia nini? Si anang'amg'ania kwa hiari jamani?

hapo kwenye udi, spare me! Naomba nisitoke nje ya boksi.
He he he, una bahati si jirani yangu
Afu udi haupakwi kwenda nao kazini au nje ya home:nono:
Huu ni kwa ajili ya:-*

best usishangae. Things women do kuwaridhisha ama kuwavutia wanaume, nadhani wengine wanajidhuru aisee. Hiyo ya kujiswafi na mswaki niliiona fesibuku, nilichoka jumla. Na huwashawishi, wanajuaji kweli!

He he he, tena raha ya mswaki uwe wa mti wa mdaa
Ulishawahi sikia kitu 'Ching Chong'? Kiboko ya mabazazi
 
hehehe, twisheni za uzeeni staki mie! utanichanganya akili, akili zenyewe mbili zinanitosha mwenyewe!:playball:
Sasa unamhurumia nini? Si anang'amg'ania kwa hiari jamani?


He he he, una bahati si jirani yangu
Afu udi haupakwi kwenda nao kazini au nje ya home:nono:
Huu ni kwa ajili ya:-*



He he he, tena raha ya mswaki uwe wa mti wa mdaa
Ulishawahi sikia kitu 'Ching Chong'? Kiboko ya mabazazi
 
Back
Top Bottom