Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses

Nyumbakubwa hajatueleza inakuwaje nyumba yenye panya?
kama mwanamke ambae hajichokoi huko na ile harufu ipo tele
kalala usiku bila kuvaa chupi? lol
,

Sidhani kama kuna kuwa na harufu kihivyo kama hauna fungal infection. Sijui lakini hatuko sawa, na hata wanaume hawako sawa.
 
Inaelekea umezoea za udi wewe. Lol.

Hiyo harufu mpaka ya kuita panya inatoka kwa binadamu wa kawaida???

Waulize walojiingiza kichwa kichwa kwa wahaya nini kinachowafanya washindwe kutoka na wengine kutelekeza familia. Lol.

Mimi mwenyewe nilikuwa sijuhi ni nini...ila nime learn toka mitandaoni kuwa K nyingi ni artificial sana, kama kope na ****** ya mchina. Lol.

nyumbakubwa hajatueleza inakuwaje nyumba yenye panya?
kama mwanamke ambae hajichokoi huko na ile harufu ipo tele
kalala usiku bila kuvaa chupi? lol
 
a mild cologne is always nice. Try euphoria by cK, ama play by givency. And dont overdo it. Ila udi nao, mi nikiskia harufu yake i presume mtu anaficha uchafu na naskia kutapika kabisa. Sijui labda sijazoea hang na watumiaji wazuri

loh nilijua ni mie tumambae udi unanichefua akili.....
Yaani mtu akipaka namwambia akae mbali na mie......
Ikishindikana nahama.... La sivyo hapatakalika i hate udi
 
NImeshatumia Euphoria ikanishinda...kwa sasa nina COCO Mademoiselle nadhani ntampa mama yangu soon.

Nimeamua kuanzia sasa naanza kutumia perfume za kiume...nadhani hilo ndio suluhisho...kwa sababu sijwahi ku tolerate perfume yeyote ya kike. Nilishawahi ugue athma nikiwa mdogo...kwa hiyo kwa sasa ni full allergy.

Madam,sasa ndo umegundua siri ya urembo. With men's perfum u've stepped into the world of beauty. Just use them na utagundua siri ya urembo iliyojificha ndani yake. Next time jaribu Aqua di Gio ya Giorgio Armani,km uko asthmatic this ur stuff.
 
mmmhh, kuna udi na udi.
Ungekuwa karibu ningekuonjesha.

Au jaribu wa AJMAL, na usi-over do

Kongosho hapo umenena. Na mtumiaji lazma ajue pia kuna udi waelfu 10 hadi wa laki1. Kama zilivyo perfums hatutegemei ya laki1 iwe cheap cheap.So inategemea amepata harufu ya udi wa Ajmal au ule unaotengenezwa(imitations) vichochoroni Malindi(Msa)
 
Zamani ilikuwa tunapata matamanio ya kuwapanda wenzi wetu kutokana na wito wa harufu ya heat period, lakini siku hizi manukato yameharibu sana huwa tunabahatisha tu.... Haiyumkini wale wadada wasaidizi wa ndani huwa wanabakwa na wababa wenye nyumba kutokana na wito wa harufu zao za heat period, halafu munawalaumu waume zenu..
Punguzeni manukato jamani..LOL

Mmmmh....mzeee mtambuzi hapa umeua lol yani hyo harufu ndo kali kihivyo daah!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Thank you so much. Nilikuwa nafikiria ntaanzaje...maana natamani kuwauliza wanaume wanaonukia wanatumia nini...lakini nilikuwa naogopa wasije dhani nimewazimikia. Kuna perfume za kiume zinanukia utadhani ndimu si ndimu...so sweet. Ntanunua nitumie na mume wangu.

Nilipanga kwenda kufanya research ya kunusa kwanza madukani. Lol.

Madam,sasa ndo umegundua siri ya urembo. With men's perfum u've stepped into the world of beauty. Just use them na utagundua siri ya urembo iliyojificha ndani yake. Next time jaribu Aqua di Gio ya Giorgio Armani,km uko asthmatic this ur stuff.
 
Thank you so much. Nilikuwa nafikiria ntaanzaje...maana natamani kuwauliza wanaume wanaonukia wanatumia nini...lakini nilikuwa naogopa wasije dhani nimewazimikia. Kuna perfume za kiume zinanukia utadhani ndimu si ndimu...so sweet. Ntanunua nitumie na mume wangu.

Nilipanga kwenda kufanya research ya kunusa kwanza madukani. Lol.

Tom-Ford-Noir-Mens-Because-I-am-fabulous-450x273.jpg

Men-s-Perfume-9813-.jpg
 
Asante Mtambuzi ngoja nikafanye uchaguzi madukani ntawapa feed back. Last time nilimnunulia mume wangu Chanel..baada ya muuzaji kuisifu; nilichochemsha ni kuwa nilikuwa convinced na muuza duka aliponambia hii ni new perfume for men, nikanunua...kumbe si kila kipya ni kinyemi. Haina harufu mbaya lakini si kama zile nazosikia watu wakinukia. Kuna watu wananukia hata akitumia lifti anaacha harufu nyuma...harufu ambayo inaita haifukuzi. Hiyo ndo nataka. Lol.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom