Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Women: Your vajay jay doesn’t have to smell like roses

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtambuzi, Sep 29, 2012.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Your vagina doesn’t have to smell like roses
  Or be “douched.” Just because hundreds of products have been created to help you “clean up” your vagina, doesn’t mean that’s what men want. If you like to use those products—okay. But don’t use them out of insecurity. A vagina is meant to smell like a vagina.

  [​IMG]
  [​IMG]
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,872
  Likes Received: 6,222
  Trophy Points: 280
  hivi mtu anatumia hivyo ili anukie afurahi au ili amridhishe mwanaume?

  Anyway harufu natural ina raha yake Mtambuzi....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  mmmh, kila kitu kina ladha yake.

  Ndo maana si kila siku nyama yatiwa kitunguu swaumu.
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Wewe una akili sana, yaani mie huwa nategeshaga pua mahali hapo ili kupata usingizi wororo kwa harufu naturally ya mama Ngina...LOL
   
 5. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Zamani ilikuwa tunapata matamanio ya kuwapanda wenzi wetu kutokana na wito wa harufu ya heat period, lakini siku hizi manukato yameharibu sana huwa tunabahatisha tu.... Haiyumkini wale wadada wasaidizi wa ndani huwa wanabakwa na wababa wenye nyumba kutokana na wito wa harufu zao za heat period, halafu munawalaumu waume zenu..
  Punguzeni manukato jamani..LOL
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kuna 'natural' na 'nachoro'

  kwa hiyo si kina nachoro ni 'user friendly'

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hebu mwaga maujanja mkuu, unadhani ni vyema kutumia mafuta ya nazi au?
   
 8. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kwa hiyo mnawanusa kama beberu?

  Kuhusu wababa kufakamia HG sababu ya heat period, hala hala wasije fakamia na binti zao wakiwa kwenye heat.

  Ku-pimp harusu kuna ladha yake once in a while.

   
 9. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  yap, harufu iyo ina raha yake hasa kwa mafish kama mimi...hahaha.
   
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mabinti zao nao kama mama zao, hujisiriba mavipodozi mpaka wanachuisha kwa harufu zisizo zao, si rahisi sana kuvutwa nao.... Wadada wasaidizi huwa wanatelekezwa na wamama kiutanashati wakidhani kuwa wakiwa wachafu ndo hawatawavutia waume zao.... Looo, wasijue siri ya kijiharufu cha heat period kinavyonukia, na wanaume huwa wanakisikia kutokea mbali na huvutwa na kijiharufu hicho bila wao kujua(nguvu ya maumbile), wataalamu wanasema inakadiriwa mwanaume huvutwa na mwanamke aliye katika heat period aliyeko umbali wa mita mia moja..... Hivi wale mabinti huwa wanalalaga wapi...?
   
 11. Catherine

  Catherine JF-Expert Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 1,263
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Acha tutumie tumie kidogo, manukato nayo yana raha yake. Lol
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  kupaka mafuta mengi baadhi ya mafuta yananata au yanatengeneza a thin layer, si mazuri kama 'ulimi' utafika huko.

  Kukata harufu waweza fukiza tu kwa kiasi.

  Kikombe cha kunywea maji hakioshwi kwa sabuni ya kuogea.

   
 13. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hivi waendaji "chumvini" wanaongezeka enhe!?
   
 14. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Mada zingine kama hizi ni kujifanya guest unakuwa unachungulia vile watu wanavyoshuka mistari...
  Vinginevyo unaweza kuharibu shughuli ya watu bure... Mtambuzi hapa ngoja niwe kuku mgeni!....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Nina perfume lakini nadhani itakuwa ime expire kwani ni mgumu sana kutumia hata perfumes...

  Kurudi kwenye mada nadhani haya mambo yanaendana na culture...kuna watu nasikia shurti afukizie ubani huko chini...

  Mimi siwezi...kwanza nina allergy na any strong smell.

  Kuna wengine wanafanya kwa mazoea...na wengine kutokujiamini...wanadhani wananuka vibaya kumbe ile natural smell ndio mpango mzima.
   
 16. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Afu wajameni hivi mnaonaje haya ma perfume...mimi mwenzenu naona kama ni vibaya kupulizia perfume kama nina meeting na mtu niso mjua...labda business kwani kuna mtu unaweza mfanya apige chafya mwanzo mwisho mpaka uone vibaya kilichokutuma kupuliza haya ma perfume.

  Najua kuna perfume hazina harufu kali...lakini mostly ni za wanaume..

  Kuna maduka pale Quality plaza yanauza nadhani udi...aisee mie uwa nayapitia mbali sana maana kitakachofuata ni chafya tu. Lol.
   
 17. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,520
  Likes Received: 81,873
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Invisible, kwani lile jukwaa la wakubwa lilikuwaje jamani? Mi huwa nakuwa embarrassed aisee. Nitaanza kuhamisha addiction yangu nikiwa in public, aaaaghhhhrrr! Mtambuzi, shkamoooo
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  manukato kwenye vajay jay sio bwanaa. Jitie uturi shingoni huko. Tamu ya samaki ni shombo lake, utajiskiaje unakula kitoga ana harufu ya kambale?
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kuoga at least mara mbili kwa siku na kubadi Chupi inatosha kabisa....
   
Loading...