Women Only..... Namna ya kumfanya Mume/Partner wako awe na wivu

mwambie kwanza gaga abadilishe heading,....heri mm sijasema bana

That is not fair... Naona hapo Matola kisha tupatia moja ya Man's perspective... ONGEZA bana... iendane na nini kikufanye uone wivu...lol
 
Anawapotosha huyo hakuna analolijuwa kuhusu wanaume huyo, yote aliyoandika hapo ni sifuri.
1. heshima
2. Ufundi kunako 6 kwa 6
3. Mapishi
4. economy, ujuwe jinsi ya kusave matumizi na sio kufuja pesa
5. usafi wa nguo na mwili na nyumba kwa ujumla.
6. uvumilivu wakati wa misukosuko ya kimaisha, hasa kipindi uchumi unapoyumba.
Nb: wanawake wenye mvuto sana machoni pa wengi si chaguo la wanaume walio wengi kuwa wake zao wa maisha ila kwa ajili ya mitoko tu na kuspend hii ndio sabau hata mamiss unaona hawaolewi. huyo Gaga anawapotosha vibaya mno.

Matola hii nimeipenda... sasa naomba utupe muongozo ni kitu gani hufanya nyie wanaume muone wivu....
 
Bwahahahahaaa....nyie wadada msichuzwe na Gaga. Kwanza huyu si keshawahi kutamka wazi hapa kuwa alimchiti mwenzake? Take it from me, her advice is not worthwhile.
 
daaaaah hizo namba 3,4 na 6 zimekaa kimtego sana! kwa watu sensitive inaweza kua ishu nyingine ukajuta
 
sorry...........hainihuuuu ila hata kwenye pepa ukipiga chabo kwa lengo la kufaulu sio mbaaya
 
Bwahahahahaaa....nyie wadada msichuzwe na Gaga. Kwanza huyu si keshawahi kutamka wazi hapa kuwa alimchiti mwenzake? Take it from me, her advice is not worthwhile.

NN huo ushauri wa Gaga not worthwhile sababu content ni sio Practical... au sababu kawahi Cheat??
 
That is not fair... Naona hapo Matola kisha tupatia moja ya Man's perspective... ONGEZA bana... iendane na nini kikufanye uone wivu...lol

swali la uzushi,..'kwani mnapenda muonewe wivu',...maake nimeona thread nyingi tu za akina dada wakigomba kwa ajili ya wanaume wenye wivu,...hebu nanyi tuzeni hili plz
 
The whole concept is void. Huwezi kuwa mwanamke wa 21 century lakini uka-go out of your way to please or make a man jealous

21 century woman live for herself and do not get in an act for a man
 
NDIO... Ila wivu isikithiri....
 
The whole concept is void. Huwezi kuwa mwanamke wa 21 century lakini uka-go out of your way to please or make a man jealous

21 century woman live for herself and do not get in an act for a man

You can not claim to be a 21st century woman while you live in the environments of 19th century... It is like pretending to be someone else...
 
Matola hii nimeipenda... sasa naomba utupe muongozo ni kitu gani hufanya nyie wanaume muone wivu....
Wivu kwa 1OO% ni sababu ya mwanaume kutojiami hakuna kingine, au labda pale mwanaume anapoyumba kiuchumi hili swala utokea kuogopa/ kuhisi kwamba unaweza kumcheat kwa sababu ya financial arrasment aliyonayo.
Lakini kuna wanaume wengi washamba tu ambao hata huwezi kujuwa kihuhakika wivu wao unasababishwa na nini, lakini hizo hapo juu ndio sababu za msingi.
 
You can not claim to be a 21st century woman while you live in the environments of 19th century... It is like pretending to be someone else...

Yeye ndie aliyesema kuwa ni 21 century woman sio mimi.

Au hujaiona?

Na ikiwa mpo kwenye 19th century environment kutaka kufanya ya 21 century woman si kuigiza huko?
 
I withdraw.... For ofcoz nimeona...
 
Bwahahahahaaa....nyie wadada msichuzwe na Gaga. Kwanza huyu si keshawahi kutamka wazi hapa kuwa alimchiti mwenzake? Take it from me, her advice is not worthwhile.
Haaaa bora kutamka na kubadilika au kukaa kimya nionekane mtu mzuri, any way nimesahau kwamba ww ni she mwenye ID ya he, na sio kila unachosoma ukichukue mpendwa
 
Not worthwhile because it is not down-to-earth. But different strokes for different folks.

Well that was my point... I do agree it is not down to earth, but i don't bliv saying that really needed the Cheating to be reminisced...
 
Yeye ndie aliyesema kuwa ni 21 century woman sio mimi.

Au hujaiona?

Na ikiwa mpo kwenye 19th century environment kutaka kufanya ya 21 century woman si kuigiza huko?
Gaijin mambo lakini, niliposema 21 century ni katika kupambisha kwamba tuko modern zaidi, hata hivyo kuiga sio kubaya kama ni kwa manufaa looo naona watu washaibuka na roho zao mbaya
 
Wivu kwa 1OO% ni sababu ya mwanaume kutojiami hakuna kingine, au labda pale mwanaume anapoyumba kiuchumi hili swala utokea kuogopa/ kuhisi kwamba unaweza kumcheat kwa sababu ya financial arrasment aliyonayo.
Lakini kuna wanaume wengi washamba tu ambao hata huwezi kujuwa kihuhakika wivu wao unasababishwa na nini, lakini hizo hapo juu ndio sababu za msingi.

Kwa maneno mengine... Mwanamkea akiwa na qualities zote ulizo mention ndio mwanaume ataona wivu?
 
Gaijin mambo lakini, niliposema 21 century ni katika kupambisha kwamba tuko modern zaidi, hata hivyo kuiga sio kubaya kama ni kwa manufaa looo naona watu washaibuka na roho zao mbaya

Zowea...kwenye mkusanyiko hawakosi wenye roho nzuri na roho mbaya pia.
Wenye kutumia maneno katika kupamba tu nadharia zao bila kuzingatia maana halisi ya maneno na wenye elewa nadharia kwa maana ya maana halisi ya maneno yaliyotumiwa

Wenye kukimbilis maneno kama "looo, roho mbaya" kutetea hoja zao, na wenyewe kupinga kistaha

Tuvumiliane tu (chanzo: Ane Makinda)
 
Back
Top Bottom