Women/Girls, how many years is too long to keep you waiting for a marriage? Utamvumilia mchumba kwa muda gani?

Tulikua na mtoto so nilijiwekea moyoni kama asiponioa basi vitamsaidia mtoto wangu sababu tulivyoanza tu mahusiano nikapata ujauzito.

Kingine, ndani ya hicho kipindi nilichokua nae nilikua namsoma na nikagundua ni mtu sahihi sana kwangu, hata ingetokea ajanioa ningejua ni mipango tu ya Mungu lakini alikua anaonyesha dalili zote za kutotaka kunipoteza.
short n clear
 
Mimi nipo mbioni kumpiga mtu kibuti. Tumekaa kwenye mahusiano zaidi ya miaka 7,na hajawahi hata kusema tutambulishane official, blah blah kibao.
Namuangalia tu ananvyohaha baada ya kumwambia me nasepa zangu.
.kumvumilia mwanaume wa hivi zaidi ni kujizeesha tu. Unakataa watu kibao kwa ajili yake lakini kumbe Hana mpango. Naomba nivumilie.
Nimesha andaa kibuti.
Ni bora kuwa na mume wa mtu, lakini sio sample hii ya mwanaume
Pole unayopitia ni makubwa saana.

Nitakuweka kwenye maombi mlimani leo.
 
Naamini ndoa huja tu.mara kadhaa nilipoipanga kabisa kabisa iliharibika vibaya vibaya na mtu nampenda kiukweli yaani.sijui hata kuna nini kwenye hili dubwasha.Japo presha ya wanawake hupelekea mwisho mbaya sana kwenye hizi ndoa.
mtu unampenda haswa,lakini huoni kama ni wakati wa ndoa yet,ila mdada full kukupa presha,sijui "bridal shower ya fulani ilikua supa,mara namasaidia Rachel kuchagua gauni,mara Chantel kaniomba mawazo a hot honeymoon spot bae wake kamwambia achague"...yote hiyo anaku alert wewe kua na mimi nataka...MWISHO WAKE MARA NYINGI NI MBAYA SANA.
wakati ukifika wala hakuna atakaefosi...automacaly vitu vitaanguka mahala pake
 
Asante kwa uzoefu mhenga.
 
View attachment 700391 usisahau pia kuna watu wanakutana miezi 6 tu wanaoana
My waifu wangu nilijuana naye 2 weeks only nikaoa jumla hadi leo tuko poa bin raha

NB: ila mwenzenu nimejaaliwa uwezo wa kumtambua mtu mapema, mi niki-interact na mtu mara 2 mara 3 tayari nishamjua tabia yake. Hiki kipaji nilinisaidiaga sana kujua mademu wife material

Kuna rafiki yangu fulani alikuaga anatembea na baamed mmoja hivi. Bahati nzuri mademu wake wote nilikuwa nawajua. Sasa alipotaka kuoa akaniomba ushauri aoe nani, alinishangaa nilipopiga kura yangu kwa baamed. Sema jamaa alikuwa ananikubali sana ndo maana, basi akaoa hivo hivo huku anasita sita. Ila huwezi amini hadi leo wanainjoi tu life. Ndoa ukipata the right person utakuwa unawashangaa tu wanaoachana
 
Ni kweli kabisa hao wanaoogopa na kukaa miaka 10 hua wanachagua koroma
 
Nataka nijue umri sahihi wa kuruhusiwa kuoa baada ya kuingia kazini,mana jamaa kaingia 2015 akadai mpaka awe amfikisha 26,hiyo 26 ikafika akadai system imebadlka ni mpaka ukae miaka 5 kazin,yan jama nakunywa chai sana asee,akadai pamoja na hayo mashart kwa kua muda unaenda,ataomba kalikizo ambako ndo tutatumia ktk utambulisho na mambo mengine,hiyo likizo sasa kuipata imekua km kuomba kazi dah!!!anadai hapewi likizo,mara kaenda kozi,mara kaingia kazin wiki,mara kapata adhabu cjui kapew wiki mbil mfululizo atachukua silaha kwa hiyo hana muda,akiwa ananiambia hayo hua naamini,ila akikata simu nikianza kuchambua sentens zake naonaga ka ananizngua,au hanitaki na kwa kua tuna mda mref anaona noma kunichana kua hanitaki
mtembelee huko anakoishi dear, unaweza kuta alishaoa zamani. mimi mdogo wangu anavaa hayo magwanda na aliolewa ndani ya mwaka tu wa kuanza kazi, na akazaa mwaka uliofatia. na yeye alikuwa anakaa kambini

sasa hizo mambo azokusimlia huyo jamaa yetu naona kam fix tu
 
Yaa
6yeras na ameshajitambulisha
Hakuwez kuwa na another problem
Zaid ya din cz mpaka amejitambulisha

Alikua amekubaliana na ww so
Akajipa moyo ww utachange din
After yy kuja home kujitambulisha
But na ww umegoma na yy kagoma
So hapo ndo kuna shda

Nakumbuka cku co nyingi hata
Mm nmevunja relationship juz
Tu sababu ya din af mm n

The hebu wala co din kulingana
Na mashart yake nliamua
kujiondoa tu
Aiseee, mimi pia nko kwenye mahusiano kama hayo na sijui cha kufanya coz na ninaona mwenzangu kila ikifika hapo anashindwa kutoa maamuzi anaomba muda kidogo. .
 
Yaa

Aiseee, mimi pia nko kwenye mahusiano kama hayo na sijui cha kufanya coz na ninaona mwenzangu kila ikifika hapo anashindwa kutoa maamuzi anaomba muda kidogo. .
Dhuuuuu aiseeee Pole
Sasa kwenye hili me naona
Mwanamke ndo anafaa

Kufuata din ya mwanaume
Kwa upande wang lkn vle naona
Cjui Kwa wengine

Mm nliambiwa nibadili
The hebu nikakataa nakamwambia
Yy abadilia je anifuate mm akata
na kusema kwao hawatakubal
Nakamwambia bhas zako 50
Zang 50
 
Dhuuuuu aiseeee Pole
Sasa kwenye hili me naona
Mwanamke ndo anafaa

Kufuata din ya mwanaume
Kwa upande wang lkn vle naona
Cjui Kwa wengine

Mm nliambiwa nibadili
The hebu nikakataa nakamwambia
Yy abadilia je anifuate mm akata
na kusema kwao hawatakubal
Nakamwambia bhas zako 50
Zang 50
Dhehebu mimi sina shida ila kuhamia upande wa pili kabsa sipo tayar ila akikubali ya serikalini nko pouw tu.
 
Dhehebu mimi sina shida ila kuhamia upande wa pili kabsa sipo tayar ila akikubali ya serikalini nko pouw tu.
Hapa ndo unakuta kuna shda
Unakuta mnashindwa kuafkiana
Ukiona imeshindikana kabsa
Unatafta mwenye mnaendana
na din
 
Back
Top Bottom