Women empowerment and future of politics in Tanzania

Masanja

JF-Expert Member
Aug 1, 2007
4,809
8,861
Juzi kati Kiongozi wa taifa letu ametoa kauli tata akiwa anahutubia wananchi katika mkoa wa Pwani akisema hataruhusu binti aliyejifungua kurudi shuleni. Ni kauli tata kwa sababu imezua hoja na mijadala mbali mbali ndani na nje ya nchi.

Ingawa mimi nimekuwa nikimuunga Mkono JPM kwenye mambo mengi ya kitaifa, kwa hili natofautiana naye. Big time! Kwa dhati kabisa naamini mtu kupata mimba na kujifungua haimuondolei haki ya kupata elimu. Elimu ni haki aliyonayo mtu. Ni haki ya kikatiba. Na ni haki iliyo kwenye mikataba mingi ya kimataifa tuliyoiridhia. Kwani ukimnyima elimu ndo unampunguzia ukali wa maisha huyo binti?? au unamuweka kwenye shimo la umasikini zaidi? kama taifa tujitafakari. Wote inatuhusu.

Lakini kinachoniuma zaidi ni hiki. Hawa akina Mama na akina dada ambao miaka mingi wamelilia uwakilishi kwenye vyombo vya kutunga sheria na maamuzi.....wamefanya hivyo kwa kutumia mgongo wa kumuwakilisha mtoto wa Kike kwenye vyombo vya maamuzi. Leo wako wapi?? Mbona siwasikii wakisimama na kuhesabiwa??

Hivi kweli Mama Samia Suluhu Makamu wa Rais, Dr. Tulia Ackson Naibu Spika, Balozi Migiro, Anna Kilango, Ummy Mwalimu, Jenister Mhagama na wabunge wanawake, mmeshindwa kabisa kulisimamia hili swala lililopo kwenye ilani ya CCM? Hivi kweli mmeshindwa ku-influence policies za nchi hii kuwa rafiki kwa mtoto wa Kike? Mnashindwa kabisa hata kuwa na Women Parliamentary Forum mtume ujumbe mahsusi kwa Magufuli abadilishe haya maamuzi? Kwamba you don't have that influence??? So what are you doing in politics and those offices?

Yes, mnaweza kujitetea kwa sababu nyingi (and as always you will play your favorite card. Mfumo dume!). Lakini inapofika watu wenye nafasi kubwa kwenye vyombo vya maamuzi mnashindwa kusimamia hoja kama hii ambayo na nyinyi inawagusa (in fact wengi mlitumia hii karata ya sauti ya mwanamke kufika mlipo). Hivi kweli what is the future indeed the usefulness ya kuwa na wawakilishi wa upendeleo kwenye hizi nafasi? How and why should we justify kuwa na wawakilishi kama nyinyi wakupewa ubunge kwenye sahani? I am very disappointed in you.

Hiyo tisa. Aliyetoa kauli ya kuhakikisha mtoto anayepata ujauzito haruhusiwi kurudi shule ni Mama Salma Kikwete! Mke wa Rais mstaafu! Mtu aliyeko bungeni kwa nafasi hizi hizi za upendeleo! (with expectation kwamba atawasemea wale wasio na sauti). Kibaya zaidi huyu mama ana NGO ya WAMA ambaye inatwambia kwamba iko mstari wa mbele kuwapigania watoto wa Kike (remember WAMA-NAKAYAMA?). Sasa kwa nini tusiamini kwamba NGOs za akina WAMA na nyinginezo zipo kupiga pesa za wafadhili and you don't believe in what you preach?

Otherwise, kwa mwendo huu, sioni umuhimu wa kuwa na hizi nafasi za upendeleo. They are simply useless! Otherwise mtoto wa kike atajifunza nini kwenu? MNATAKA AWE NA FUTURE GANI KAMA HANA ELIMU??? Au mnataka watoto wa kike waendelee kuwa masikini na wajinga kusudi muendelee kupewa nafasi za upendeleo kwenye "kuwatetea"? Ni kipi mnafundisha future women leaders? if you don't have principles to inspire them kwenye mambo ya msingi kama haya??

I am very disappointed na hawa watu wanaogombania usawa mpaka wamewekewa viti maalum! Shame on them! Especially Mama Suluhu kama Kiongozi mwanamke mkubwa serikalini. Jitafakari. You need to do something! You represent women and girls who look up to you as an example.

I'm Nyani Ngabu and I approve this message!
 
Mh. Rais hakuzuia mtoto anayepata mimba kuendelea na masomo, alichozuia ni kuendelea kusoma ktk mfumo wa kawaida wa elimu! Bado fursa ipo kwa mtoto aliyepata mimba kusoma na kufanya mitihani ya Taifa kama mtahiniwa binafsi kwani wapo wengi waliofanya hivyo na kufanikiwa! Yaani mwanafunzi azae kisha aendelee na masomo noo kwa kweli! Kwa hiyo siku za kliniki na chanjo anakutana na walimu wake kwenye foleni! Nasema noo!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom