Dereva Suka
Senior Member
- Sep 25, 2014
- 176
- 289
Katika mizunguko yangu hapa mjini (Dar) sijawahi kuhabatika kumuona mwanamke au msichana akiendesha gari akiwa ame relax yaani akiwa kaegemea siti yake (exaggeration ) ...mara nyingi huwa nawaona wakiwa wamekaa mkao wa upright..yaan anakaa kama vile anachungulia mbele ili aone vizuri.. jamani wadada na wamama kuendesha gari sio mateso au kazi ya kukufanya uchoke kama vile umetoka kulima....kwa style yenu ya kuendesha huwez kutoka hapa Dar hadi Kibaha kabla hujachoka kabisa.
Egemea siti yako...kama kiti kipo mbali kuna sehemu ipo chini ya kiti au pembeni ya kutwist kiti chako kiende mbele au nyuma ili kupata balance zaidi.
You can manipulate the seat on your comfort.
Drive safe Drive responsibly.