God knows
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 275
- 173
Kabla sijaanzisha huu mjadala, naomba wanawake wote wa JF wanisamehe kama mada hii itawa upset in one way or another.
Mimi binafsi kuna kitu kinanichanganya sana kuhusu wanawake ndio maana nikaona si vizuri kuumiza kichwa peke yangu ila niilete hii mada hapa Jamii Forum ili niweze kupata mawazo ya wadau kwa sababu inawezekana mtazamo wangu si sahihi.
Hivi wanawake wanaposema wanadai haki sawa, wanamaanisha nini exactly. Wanadai haki au upendeleo.
Nikianza na biological point of view, wanawake wanafahamika kwamba wapo weak!. sijakosea, ndio hivyo kwamba wapo weak katika mambo mengi mfano akili, nguvu, n.k
Tukija kwenye Biblical point of view, mwanamke aliumbwa kutoka kwenye ubavu wa Adamu na Mungu alimuumba mwanamke baada ya kuona kwamba Adamu ni mpweke hivyo akamfanyia msaidizi wake. Hii iina maana kwamba mwanamke ni sehemu ya mwanaume na sehemu sidhani kwamba ni sawa na kitu kizima.
Nikiangalia kwa makini katika huo mchakato wao wa kudai haki sawa, naona kwamba hawadai haki sawa ila wanajaribu kuua feminism kwa kuiga mambo wanayofanya wanaume. Ukisoma hesabu utajua kwamba a negative number and positive number cancel each other when they have equal values and a negative number becomes more strong when it is more negative and the same way for a positive number. This means women make men stronger by becoming more weak themselves.
Halafu katika huo mchakato wa kudai haki sawa, mbona hawadai haki sawa ila wanadai kupendelewa????! kwa nini? Mfano wanawake kufaulu kwa asilimia ndogo, kupewa upendeleo vyuoni, makazini, uongozini na sehemu nyingine bila kuwa na sifa thabiti. Je hiyo ni haki sawa???
Siku hizi wametuingilia hadi kukojoa. wanakojoa huku wamesimama?? Makubwa