Women as explained by Engineers

LazyDog

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
2,473
189
Disclaimer: to our female viewers... you have to admit, this is funny!

Part I
21.jpg

Part II
23.jpg

Part III
21.jpg

Part IV
22.jpg

Part V
21.jpg

.
 
Ou, shit!
The images have disappeared, sorry about that!
 
Hii imeniacha hoi!

HAZARDS
- Turns green when placed alongside a superior specimen

Wanawake huwakagua wenzao zaidi kuliko wanavyowakagua wanaume barabarani, maofisini n.k.

.
 
Ni kweli kabisa haya na ni ndani ya box sasa nje sijui ni nini?
 
wana JF, nimeyakuta haya maelezo mahali lakini yakaniumiza sababu hao dada zetu ndiyo wengine mama zetu! Je, unalionaje hili suala?

i894_galzvsmoney.jpg

what is your opinion?
 
Kwa hiyo na mama yako ,dada yako,shangazi na mkeo wote ni Evil? Na ujue mtoto wa evil naye ni evil kwa hiyo na wanaume nao tuwaite evil?Mama yako aliyekuleta duniani na kukulea unamuita evil? makubwa jamani! wasaidaka wafaidaka wapundaka!!!!
 
huo sasa ni ugomvi!!! rekebisha post yako! kwani mi sikuliona hilo? we toa mchango wako hapo unaonaje, hayo mambo ya mama cjui nani achana nayo! au umeamua kuosha kinywa? kama ndivyo sema na mimi nioshe changu!
 
May be some clarification Felix, why have you left the negative part? are there any assumptions why you are considering ony the positive part?
 
huo sasa ni ugomvi!!! rekebisha post yako! kwani mi sikuliona hilo? we toa mchango wako hapo unaonaje, hayo mambo ya mama cjui nani achana nayo! au umeamua kuosha kinywa? kama ndivyo sema na mimi nioshe changu!
mie hata sina ugomvi.kwani hiyo girls hapo inaamnisha nini? si umejumuisha wanawake?Na mimi huo ndio mchango wangu.sawa sawa na ulivyoandika.labda nieleweshe vizuri ulikuwa unamaanisha nini?boys =evil?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom