Wewe Boflo umeipata wapi picha ya mpenzi wangu? Halafu unaiweka hapa kwanini?.........
hapo ushindwe mwenyewe.........
Njenje ooo njenje
kutia nazi kunoga
na kipara ngoto njenje, daaah umenikumbusha enzi za njenje
Unajaribu kuwatishishia nyau wadau wa Ulambo eeeh? Hatuogopi kama kufa tungeshakufa many years ago..........:
Unajaribu kuwatishishia nyau wadau wa Ulimbo eeeh? Hatuogopi kama kufa tungeshakufa many years ago...
Mamito umerudi? nilikumisije!!! Watu walikuwa wananionea sana humu na mada zao kama hizi za kutishana bhana.amesahau kuwa "mtu mzima hatishiwi nyau"