Wolper na Aunty Ezekiel wavuana nguo hadharani, kisa madeni

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,380
Ila Aunty nyie mtambo, mtu unadaiwa na bado unakua mkali na vichambo juu , halafu nasikia ndo Tabia yake kutapeli watu ukimdai team yake inakuvamia wanaanza kuzusha unatafuta kiki , ila safari hii kagonga mwamba wolper hanaga mchezo na pesa cheusi dawa atalipa tu pesa ya watu.

Kila mtu anamtunishia kifua mwenzie kuwa si lolote, ila ikumbukwe aunty ezekiel ni mtoto wa mjini na wolper kaja juzi mjin na ile mifuko ya shangazi kaja, na ki ukweli wolper hampati kwa mafanikio aunty ezekiel japokua ndio ni tapeli ila aunty ezekiel namba nyingine ile

Wanachofanana tu ni kulea viserengeti boy, akili zao zote zinaendana, wote ni wapambanaji ila hela zao zote wanahonga wanaume, halafu nasikia wolper katoa mimba kubwa tu ya rich mitindo

IMG_1733.jpg
 
Back
Top Bottom