Wolper anunua kopi moja ya albam ya Barnaba(GOLD) kwa sh milion 7

Malkia wa filamu Jacquline Wolper Massawe amenunua kopi moja ya albamu ya Gold ya muimbaji Barnaba Classic kwa dola 3000 sawa na tsh million 7

Hayo yamefanyika kwenye listening paty ya albamu hiyo uliofanyika Alhamis hii katika ukumbi mmoja ulio karbu na hotel ya sea cliff masaki jijini Dar es salaam
"Kabla ya mimi kuwa boss lady alikuwa anakuja kwenye event zangu na kufanya show bure. Kwahiyo Barnaba kwangu ni mtu muhimu sana nimenunua hiyo albamu kwa dola 3000 kama kumsuport kwa sababu kwangu ni mtu muhimu" alisema WolperView attachment 852255

Sent using Jamii Forums mobile app
Mweeeeeeeeeeeeeee wolper huyuhuyu au ule mkataba wa kumoa kiki chingaboy ulimlipa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom