Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ethos, Jan 8, 2017.

 1. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280  KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
   
 2. kenstar

  kenstar JF-Expert Member

  #121
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 24, 2015
  Messages: 2,313
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  ATM itakuwa mbovu haisomeki,kuachana kisasa unamwambia MTU ATM mbovu network not reachable anasepa kimyakimya.mwanaume suruali kaa mbali nami.....x3
   
 3. Muharango

  Muharango JF-Expert Member

  #122
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 1,568
  Likes Received: 908
  Trophy Points: 280
  Wolper hata akivaa nguo bado Harmonize atamuona akiwa Uchi coz kashamdukua!!
   
 4. kenstar

  kenstar JF-Expert Member

  #123
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 24, 2015
  Messages: 2,313
  Likes Received: 1,377
  Trophy Points: 280
  Kuna yule alievuma sana Kwa kuuza magazeti hasikiki SAA hizi au sababu bandarini kumekauka haziingii contena, maana alisema Kwa siku matumizi yake ni laki tano.
   
 5. geniveros

  geniveros JF-Expert Member

  #124
  Jan 10, 2017
  Joined: Apr 29, 2014
  Messages: 23,380
  Likes Received: 20,140
  Trophy Points: 280
  kuna watu wanajifanya wa mjini kweli kumbeee ..
   
 6. vevenononombo

  vevenononombo JF-Expert Member

  #125
  Jan 10, 2017
  Joined: Jun 19, 2015
  Messages: 1,296
  Likes Received: 275
  Trophy Points: 180
  Wolper alimpendea harmonize kwakuangalia picha za boxer Dogo akizokuwa akitangaza,Dogo alionyesha zakari ya maana bi Dada akadata,maana inasemekana bi Dada ni ziwa Tanganyika ,sasa ajabu ni kuwa alichokuwa akitaka na kuamini kitamfaa sicho alichokuta,bado Ramboooooooooo tu,inabidi ????
   
 7. capacity charge

  capacity charge JF-Expert Member

  #126
  Jan 10, 2017
  Joined: Mar 26, 2015
  Messages: 355
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 80
  Matatizooo....!
   
 8. lwambof07

  lwambof07 Member

  #127
  Jan 10, 2017
  Joined: Jul 12, 2016
  Messages: 66
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 25
  natamani ingekuwa kila unaposex na mtu ambaye sio mke wako kiungo kimoja cha mwili wako kinapotea/kinaondokaa naona heshima ingekuwepo
   
 9. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #128
  Jan 10, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
   
 10. mamee

  mamee JF-Expert Member

  #129
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Amezidi kuexpose mapenzi mitamdaoni yakowapi mkongooooo
   
 11. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #130
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,598
  Likes Received: 3,888
  Trophy Points: 280
  mke wa kaka yao ni mzuri, unique na amekaa kimke mke

  hawa wengine majikeshupa tu
   
 12. E

  Ebeneza Charlz Member

  #131
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 30, 2016
  Messages: 98
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  Dogo ulimbukeni ndio unamsumbua ye angegonga akasepa sasa kujianika si ubwege uo
   
 13. P

  Pressure point Member

  #132
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 7, 2017
  Messages: 37
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Udada poa wa ksayansi, may be kanusa mgodi mwingine siku c nyingi utasikia kaibua toleo jipya yaan nambaless
   
 14. P

  Pressure point Member

  #133
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 7, 2017
  Messages: 37
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 15
  Kwahyo mkuu unasema bado panya wamo mdomoni?,?
   
 15. INGENJA

  INGENJA JF-Expert Member

  #134
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 11, 2012
  Messages: 4,768
  Likes Received: 3,328
  Trophy Points: 280
  Huyu dem alimpiga mshkaji wangu kizinga cha elfu thelathini mwaka jana mwezi wa tisa nakumbuka na sms niliiona jamaa yangu huyu huwa ni mtu wakuanda matamasha ya bongo fleva,tangia siku hiyo niliwadharau sana hawa bongo movie
   
 16. Bigbootylover

  Bigbootylover JF-Expert Member

  #135
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 2,202
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  Muda wa Young Tusso sasa maana anampenda sana Wolper
   
 17. monicer

  monicer JF-Expert Member

  #136
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 16, 2016
  Messages: 249
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 60
  Nakumbuka kale ka wimbo "hata mpenz niliye naye nahic cku atanikimbia"" daaaaaah kweli yametimia
   
 18. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #137
  Jan 11, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  Haha
   
 19. Mkaruka

  Mkaruka JF-Expert Member

  #138
  Jan 12, 2017
  Joined: Feb 5, 2013
  Messages: 8,623
  Likes Received: 4,773
  Trophy Points: 280
  Hata Mimi Uwoya Namkubali Kinyama, Ndikumana Alimfaidi Sana Tena Akiwa Mbichi Kabisa
   
 20. b

  blessings JF-Expert Member

  #139
  Jan 12, 2017
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,063
  Likes Received: 2,852
  Trophy Points: 280
  Mi namhitaji huyo gold digger, hapa atapigwa saundi tu na mzigo atatoa.
   
 21. travis 1

  travis 1 Senior Member

  #140
  Jan 12, 2017
  Joined: Feb 17, 2015
  Messages: 184
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 60
  we jamaa
   
Loading...