Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Licha ya kuwa ni X wa boss pia kishachumbiwa na mkongo.

Ila najiuliza hivi kuna mtu yoyote alitegemea hawa jamaa watafunga ndoa na kuwa na familia?

Vitu vingine kabla havijaanza vinakuwaga na majibu yake tayari labda uwe na Akili za jamaa wa Madale.
 
Unamuonea bure huyu mmakonde mbona baba ake Dimond anatembea na bibi kizee cha Uganda na usemi lolote.

We kweli umechelewa kuja mjini.

Wakati Wolper anasema Ali ndio Mwanaume wake wa Kwanza hapa mjini ulikuwa unapalilia zao gani kijijini kwenu?

Ni wachache sana, watakao elewa nini ulicho kiandika...
Hayo ndiyo yaliyonifanya nisikitike kukosa posts za mzaramo.
Aiseee huyu jamaa ni noma sana
 
Hayo ndiyo yaliyonifanya nisikitike kukosa posts za mzaramo.
Aiseee huyu jamaa ni noma sana

Licha ya kuwa ni X wa boss pia kishachumbiwa na mkongo.

Ila najiuliza hivi kuna mtu yoyote alitegemea hawa jamaa watafunga ndoa na kuwa na familia?

Vitu vingine kabla havijaanza vinakuwaga na majibu yake tayari labda uwe na Akili za jamaa wa Madale.
 
Kavuta pesa kasepa, akichacha atasaka mwingine.

Kama pap yake nayo imeliwa basi hakuna la ajabu, au hana ushindi juu ya Harmonize.

Nahisi alianza kunyimwa na omba omba nyingi, kupenda vya mtelemko. Kaka wa watu kashtuka pesa isiishe.
Sasa hivi ni zamu yako atakuja kwako
 
Back
Top Bottom