Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ethos, Jan 8, 2017.

 1. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280  KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
   
 2. cocochanel

  cocochanel JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 6, 2007
  Messages: 18,479
  Likes Received: 59,427
  Trophy Points: 280
  Kavuta pesa kasepa, akichacha atasaka mwingine.

  Kama pap yake nayo imeliwa basi hakuna la ajabu, au hana ushindi juu ya Harmonize.

  Nahisi alianza kunyimwa na omba omba nyingi, kupenda vya mtelemko. Kaka wa watu kashtuka pesa isiishe.
   
 3. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  True that


  Ila hamonize kafaidi sana
   
 4. cheupe dawa

  cheupe dawa Senior Member

  #4
  Jan 8, 2017
  Joined: Apr 3, 2016
  Messages: 172
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  hata hivyo walikuwa hawaendani bwana! harmonize anaoneka mtoto kwa wolper,
   
 5. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #5
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  WCB wanapenda wamama...

  Wanamuiga kaka yao
   
 6. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2017
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 2,472
  Trophy Points: 280
  Wanaume wa Dar uwanja wenu huu
   
 7. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  Haha.. Wamikoani tunyamaze
   
 8. Slim5

  Slim5 JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 7, 2014
  Messages: 15,813
  Likes Received: 13,051
  Trophy Points: 280
  Kilichokuleta?
   
 9. PROF NDUMILAKUWILI

  PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2017
  Joined: Mar 25, 2016
  Messages: 7,123
  Likes Received: 7,983
  Trophy Points: 280
  Wapenda kik za kipumbavu!
   
 10. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2017
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,717
  Likes Received: 5,224
  Trophy Points: 280
  Mara ooohh nina mimba ya Harmonize
   
 11. shaks001

  shaks001 JF-Expert Member

  #11
  Jan 8, 2017
  Joined: Feb 6, 2014
  Messages: 1,257
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Wanapenda kuigiza hata mambo yasiyotaka maigizo.Wao usanii tu!
   
 12. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #12
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  We na mwanaume wa Dar?
   
 13. Kalamu Yangu

  Kalamu Yangu JF-Expert Member

  #13
  Jan 8, 2017
  Joined: Dec 21, 2016
  Messages: 1,035
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  Na Daima usithubutu kumwamini Mwanamuziki au Mwigizaji Tanzania hii.

  Wapo walioharibikiwa ujauzito wa mapacha pia wapo walioigiza kubakwa na kuna 'walioshoot' China hadi leo inahaririwa....

  Ni kama wanasiasa tuu wakiona twaenda watakako basi hujiona washindi na huendeleza ujuha sao...

  Dunia Uwanja wa Fujo
   
 14. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #14
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  True that
   
 15. Kajolijo

  Kajolijo JF-Expert Member

  #15
  Jan 8, 2017
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 2,236
  Likes Received: 2,446
  Trophy Points: 280
  Kweli huyu mmakonde.. yaani hata hakujua kuwa anaelekea kuachwa ili amuwai yeye kumuacha? Ni aibu mwanaume kupgwa kibuti na mwanamke
   
 16. The Transporter

  The Transporter JF-Expert Member

  #16
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 26, 2016
  Messages: 1,502
  Likes Received: 1,633
  Trophy Points: 280
  Dah afadhali kamwachia maana alikuwa anambemenda kama kaka yake anavyobemendwa na mganda
   
 17. MNYAMAKAZI

  MNYAMAKAZI JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2017
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,144
  Likes Received: 2,118
  Trophy Points: 280
  Njomba kashashtuliwa na kaka zake kabana vijisenti kidogo, jimama limesonga kusaka fursa zaidi.
   
 18. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #18
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  Hahahah
   
 19. kimange

  kimange JF-Expert Member

  #19
  Jan 8, 2017
  Joined: Sep 14, 2016
  Messages: 1,224
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Eat and run
   
 20. Ethos

  Ethos JF-Expert Member

  #20
  Jan 8, 2017
  Joined: Aug 1, 2015
  Messages: 2,290
  Likes Received: 1,767
  Trophy Points: 280
  Yaani mwanaume unaachwa?
   
Loading...