Woga wa vyama vya Upinzani kuhusiana na Somo la Historia Ya Tanzania unatokana na nini?

Lengo lenu watoto wa maskini wasome somo la historia huku watoto wenu wasome physics na chemistry.
Futa Ilo somo la historia kabla halijaanza weka hapo masomo ya ufundi katika kila secondary itakuwa bora zaidi.
Somo la historia bila ujuzi ni mzigo kwa mwanafunzi.
 
Shule za ufundi si zipo mkuu??
 
The bad thing JF hakuna namna ya kuchuja kujua kama Member ni Taahira ama sio
 
Yaani tuwe tuna update Mtaala wa somo la history kila mwaka.... au kwa pesa ipi na kwa tija/faida gani.... kaazikweli kweli.
 
Nje ya Mada,kwanini kila kitu kuilaumu Chadema
Chadema inasema wekeni tume huru ya uchaguzi ndio tujue.
Wewe mlevi wa makangara kwa akili yako ndogo unadhani Chadema itashinda hata kama malaika washule chini?
 
The bad thing JF hakuna namna ya kuchuja kujua kama Member ni Taahira ama sio
Too bad that watu Wana multiple ID's pia...rudi kwenye mada yako ya ligi ya Chadema.

Tukirudi kwenye mada hii nasubiri uchangie ukiwa sober.
 
Hoja sio woga bali watu wenye akili hawataki iandikwe historia ya kipumbavu ili kupumbaza kizazi kijacho... mbona historia zilishaandikwa sana tu kwanini wanalazimisha iandikwe upya kuna nini kigeni?
 
Back
Top Bottom