Wodi ya wanaume hospitali ya mwananyamala haistahili kuishi hata kuku wa kisasa

dostum

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
215
110
Jana nilikwenda kumwona babu yangu hospital ya mwananyala, nilishtushwa kwa hali niliyoikuta. 1. kitanda kimoja watu wawili, harufu nzito kupita kiasi. nilipotaka kujua tatizo lake walinambia ni presha na hivyo anahitaji mapumziko. Hali ile sikuridhishwa kwayo na niliwauliza kama kuna grade 1 au 2 wakasema hawana huduma hiyo bali naweza kumpeleka private hosptal bt akizidiwa huko tusimrushe pale kwakuwa hawana uwezo wa kutoa transfer hadi kwa idhini ya docta. Ukweli ni kwamba hali niliyoiona sikuamini kuwa atapata utulivu. manurse wasiojali wala kuthamini wagonjwa, Wodi ile ktk hali iliopo hata ukifuga kuku wa kisasa wanaweza kufa.

HIYO NDIO MIAKA 50 YA UHURU.
 
Back
Top Bottom