Wodi ya vichaa bana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wodi ya vichaa bana...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Good Guy, Oct 29, 2010.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dokta m1 wa vichaa aliingia wodini akakuta vichaa wanachezea vi toy planes akamuuliza wa kwanza
  DOKTA:Unafanya nini.
  CHIZI:Nafanya mazoezi na ndege yangu niende mwezini.Akamuuliza wapili hivyohivyo,wa2 akamjibu
  CHIZI 2:Nafanya mazoezi na ndege yangu niende kwenye jua.
  Dokta kwa mshangao akamwambia
  "Kwenye jua si utaungua au hujui jua ni la moto"
  CHIZI 2:Hivi we unafikiri mi mjinga niende mchana,naenda usiku.
  Dokta hakuendelea akaondoka hapohapo
   
Loading...