Wlliam J Malecela: Kachukue Dodoma Mjini 2015

Status
Not open for further replies.
William J. Malecela


‎@ HoMe sweet home!... Wallahi this is the really Bongo, ha! ha! ha! happy to be back to the Original I looove it and thanks be to my God kwa kunifikisha salama bin usalimini! ha! ha! ha! ha! Just need a lot of REST you know! ha! ha!

- My many thaanks to Mh. Nape Nnauye, Omar Kimbau, Kinje Mwiru + Rachel Michael, Da Judy, Atieno P Gidss, + Verna Mutungi, + Samweli Malecela + My Super Mom Mh. Anne Kilango, I mean sina cha kuwalipa kwa utu na ukarimu wenu toka nimetua hapa Bongo, I am humbled na MBARIKIWE na MUNGU WAMBINGUNIs! - Le Baharia Mutuz William!
Source: Nape FB wall


Sijui ndo maanadalizi ya kukitoa Kibajaj pale jimboni yanaanza???


Ukifuatilia huko nyuma William Malechela @New York City alishaaga kwamba anaenda likizo kutalii bongo. Ndio maana hata hapa mtandaoni yuko kimyaaa. Kwa sasa ndio marejeo ya kurudi @New York City kufanya maandalizi maana likuwa ameenda kuandaa mazingira na kusoma upeopo. Nape alishakuwa naye @New York City muda mfupi uliopita hivyo bongo alienda tu kukamilisha minajili.
 
Unajua hili jina la KIBAJAJ limekuja kufit sana na akili za huyu Mbunge...yaani kuna uhusiano wa karibu kati ya jina la KIBAJAJ na akili zake.Ni bora wamng'oe tu huyu jamaa,yani ni kilaza,akili tope mpaka aibu.
 
ha ha ha mkuu unaamini in traditional doctors??kibajaji atakun'goa kabla ya 2010
 
watu wa mtera wanasema hapana kutawaliwa na ukoo wa malecela. Endeleeni kuuzunguka mbuyu

Vipi utagombea tena kule ulipolambishwa sakafu? Wewe na Lusinde mnatofauti gani kama nikweli avatar yako inakuwakilisha wewe. :A S embarassed: :A S-coffee:
 
Angalau aupate U-NEC kwanza kwenye uchaguzi wa CCM baadae mwaka huu. WAtusaidie jambo moja tu. Kumnyamazisha Lowasa na genge lake milele!
 
- People thaanks a lot wote mbarikiwe mlichangia, I mean jana nimemamliza shuguli zangu Paris na Zurich, sasa naelekea Madrid nitakwua pale one day and then nitakwenda London na Rome, na Friday nitaruka kurudi Bongo.

- Well, tuonane bongo tujadili taifa letu, kuhusu kugombea uongozi sijaamua lakini baada ya kujionea mwenyewe hali ya bongo ndio tutaamua kama tutajitosa ama vipi, Otherwise ninawashukuru wote wka michango yenu na ushauri mzito sana, WOTE MBARIKIWE SANA NA MUNGU WA MBINGUNI!

Le Baharia Mutuz: Big Shooow!
Acha maneno...tushajadiliana mika 6 sasa
kilichobaki ni kuchukua hatua tuuu

ingia Dom uanze mchakato

ukiwa Mbunge wa Dom Mjini woote itabidi wa ripoti kwako

bwa hahaha hahaha hahaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom