Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wlliam J Malecela: Kachukue Dodoma Mjini 2015

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by J4MAYOKA, Jan 29, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. J

  J4MAYOKA Senior Member

  #1
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Enough with blah blah za JF.

  Huyu ni kaka yetu, kamanda wetu, kijana mwenzetu na pia ni mwenzetu na pia tunajua misimamo yake ambayo ninaweza ni progressive.Kwa wanaomjua William watakuambia kuwa ni kiongozi toka enzi zake alipokuwa baharia na waliokaa naye beach watakuwambia unlike watoto wa wakubwa wengine William hana majivuno (sifa kubwa ya wanasiasa wetu siku hizi) na sioni sababu kwa nini asiweze not only kuwa mbunge wa mji mkuu kama Dodoma.Anakubaliaka, ni mtu wa watu na tayari constituency kubwa ya Dododma mjini naamini watamkubali.

  Na bila kusahau kuwa ni Cabinet materia so sioni kwa nini asirudi nyumbani na aendelee kumkoma nyani gilabuWilliam Samuel Malecela, Dodoma Mjini wants you, but your country NEEDS YOU more!
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,323
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Mzee wa @New York, USA

  Bakia huko huko Tanzania is not a Monarchy state
   
 3. P

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 20,925
  Likes Received: 7,185
  Trophy Points: 280
  F4M, kwanini ushimshauri aka restore past glory ya Mtera kwa kumfunza adabu yule kichaa aliyemuaibisha mzee wetu?.
   
 4. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #4
  Jan 29, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,568
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  hahaha sasa huyo kanya sana USA,
  Tz itajengwa na wenyeji na sio wazawa.
   
 5. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #5
  Jan 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,224
  Likes Received: 191
  Trophy Points: 160
  sio kwamba wewe mwenyewe ni @New York, USA umeamua kujianzishia thread!
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,323
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  JF bwana raha sana unaweza jianzishia thread na kujijibu mwenyewe!
   
 7. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #7
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tatizo ni kwamba mleta thread ndiyo huyo huyo anaeshawishiwa agombee!

   
 8. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #8
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,586
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Kati ya Mtera alikokuwa DEDI yake na DODOMA MJINI where is the bigger prize?
   
 9. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #9
  Jan 29, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,389
  Likes Received: 590
  Trophy Points: 280
  ebwanae?
   
 10. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #10
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,586
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Mheshimiwa mbona inasemakana kaenda EU kukusanya pesa za kampeni?
   
 11. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #11
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,687
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  hivi kumbe kila mtu ni mwanasiasa??aisee au tunaambukizwa na baba na mama zetu wa kambo??nyie jamaa mnadumisha madharau kwa nchi yetu!
   
 12. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #12
  Jan 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]

  Mtu mwenyewe anaonekana SHAROBARO! Hivi anaweza hata kuandamana huyu!
   
 13. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #13
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,586
  Likes Received: 705
  Trophy Points: 280
  Le Mutu iz in ze Yurop!

   
 14. Laurence

  Laurence JF-Expert Member

  #14
  Jan 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 3,098
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hawezi kujua matatizo ya wana Dodoma mjini wewe endelea kuponda life za kidosi huko mbele
   
 15. Patriote

  Patriote JF-Expert Member

  #15
  Jan 29, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 1,601
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Agombee kwa ticket ya chama gani???
   
 16. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #16
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 12,385
  Likes Received: 829
  Trophy Points: 280
  Thaanks people nipo Paris sasa en route to Zurich, hapa nipo Waziri Maghembe tunakula JF nawashukuru sana, nipo hapa Europe kutembelea nchi Nne na next week nitakwua bongo, hope tutaonana huko wana JF+

  Respect1

  Le Baharia Mutuz+
   
 17. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #17
  Jan 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 12,385
  Likes Received: 829
  Trophy Points: 280
  Masa ni-inbox tena yr cell we need to talk bro, mwendo ndio huu sasa mdundo mkuu wangu, either sasa or never+

  Le Baharia+
   
 18. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #18
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,575
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0

  Kumbe hii habari ya kwenda kuchukua Campaign funds EU zina ukweli eeeh?

  safi hiyo....haya ndio mambo tunayotaka

  mwakani fungasha virago urudi Dom
   
 19. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #19
  Jan 29, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,932
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 160
  kaka wanataka kukutoa kafara bakia huko huko....kula unavyopata usiangaike na wanaokutaka urudi .......bongo ishaharibika haina maana tena
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jan 29, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,323
  Likes Received: 117
  Trophy Points: 160
  Kiongozi utapita maeneo! ? best wishes
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...