Wizkidayo Starboy

The world has lost taste for good music! Nakubaliana nao but shits sounds wack to me.
Kizuri kinajiuza,Endelea kusikiliza Singeri mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_2020-11-04-09-17-47.png
    Screenshot_2020-11-04-09-17-47.png
    33.1 KB · Views: 2
Album mbovu tu. Nyimbo kali alioimba na burna boy to. I have a good ear to good sounds but in this album 80% wack sounds
Sema miondoko n mipya kwako Ila kaimba style ambayo nazan n simple kueka hasa soko la nje hasa US,ukisikiliza miondoko ya smile afu Kama umesikiliza album mpya ya Alicia keys utaona Kuna nyimbo kapita Kama vile so tuconclude Kuna wasanii hasa wiz na burnaboy Kama ww n mpenz tu wa Muzik wa kibongo bongo tu n Ngumu kuwaelewa Ila ndo Giants wa Africa hawa
 
Ile Smile imeimbwa kifundi sana...Bora ww mkuu umeilewa Album....
 
Nyimbo karibia zote Ni kali Ila nazikubal Sana mbili ukiachana na hiz mbil smile na no stress ambazo zilitoka mapema bas n gyrate na reckless napenda Sana jamaa anavoimba kwa raggae tone flani unique kabsa
 
Yea
Sema miondoko n mipya kwako Ila kaimba style ambayo nazan n simple kueka hasa soko la nje hasa US,ukisikiliza miondoko ya smile afu Kama umesikiliza album mpya ya Alicia keys utaona Kuna nyimbo kapita Kama vile so tuconclude Kuna wasanii hasa wiz na burnaboy Kama ww n mpenz tu wa Muzik wa kibongo bongo tu n Ngumu kuwaelewa Ila ndo Giants wa Africa hawa
Yeah mkuu, huenda mie mahadhi yale hayajanibamba. Unajua mie nyimbo ili niipende lazma iwe na melodies ambazo hazinichoshi. Yani mie hatua ya kwanza niilewe beat ndio ntaipenda nyimbo.

Kwa sababu beat ni pattern ya instruments basi hizo instruments zikiflow kwa mtiririko huwa najikuta naweza sikiliza dakika zote za nyimbo kisha naikubali. Ila ikiwa tofauti ujue ntaskip skip na ndio kilichotokea kwenye hio album. Nyimbo nayowezs skiliza in full ni hio ya burnaboy tu.

Wizkid ni msanii mkubwa na namkubali sana hasa nachoongelea utakielewa kwenye nyimbo kama.
"In my bed"
"Sound it"
"Baba Nla"
"Ojuegleba"

Sielewi ki Yoruba ila beat ikiwa na melody nzuri napata hamu tu ya kusikiliza.
 
Nimeshakupata Kama unavojua Kila ki2 kinabadilika kulingana na wakati n Ngumu msanii kuimba style moja Yani 2010 na 2020 awe anatembea na style ile ile wiz kabadilika style anaimba now c kinaija au afrobeat ambayo tumeizoea Africa ndo maana n Ngumu kumuelewa kwa Sasa Kama umezoea nyimbo za style ya tekno,davido au fireboy
 
Halafu hivi Sportify naipataje? Maana kila nikijaribu wanasema haiko available kwenye region yangu

Kama unatumia android nenda search engine yoyote iwe google or yahoo then type sportify ukimaliza kudownload nenda playstore download super vpn.

Unachofanya hide location weka ya Us or nchi yoyote isipokua east africa au Africa then register account yako sportify anza kuenjoy mziki mkuu nimefanya ivyo since 2014 nakula good music
 
Bila VPn je?
 
Mkuu mbona kwangu ina zingua
 
Attachments

  • Screenshot_2020-11-10-11-44-03.png
    Screenshot_2020-11-10-11-44-03.png
    22 KB · Views: 2

Similar Discussions

Back
Top Bottom