Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Wazungu kama wote wamevurugwa balaa


Kuna clip moja niliiona huyu mnyama yupo studio na scott storchπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Nikaitafute kilometa nisikilize
Davido anakimbizwa nasubiri ujio wake atakujaje....
 
Huyu jamaa nae si kashikwa MKONO na Sadala, still bado anakimbiza na huyu mwamba soko la Ulaya na US kalishika sana mwaka huu, kuifikia records ya nyimbo ya Essence swala dogo.

NB:Ogopa sana mawazo ya kijinga yanayo ongozwa na chuki.
Uchawi hauvuki border...
 
Uchawi hauvuki border...
Uchawi havuki boda !!!!!!, kwa hiyo unakipimo au formula kabisa ya kupima uhusiano kati uchawi na umbali? Au ndio uchawi is inversely proportional to distance.........πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom