Wizkid afanya bonge la show Uingereza

Wizkidayo a.k.a Star Boy...Ameendelea pale alipoishia usiku wa kuamkia leo amejaza O2 Arena pale U.K na kufanya bonge la show,

Na sikujaza tu baadae alimpandasha mtu mzima Chris Brown.

Msimu huu umekuwa wa wamafanikio zaidi kwake Star Boy maana Album yake ya Made In Lagos ikifanya vizuri Worldwide ikiwa na streaming zaidi ya bilion 1.

Essence ngoma ambayo imeuza mauzo ya Platinum kwa haraka ndani ya Marekani si jambo jepesi.

Star Boy sio wa Afrika tena ni Worldwide🙌🙌


#Forgive me.

Huyu jamaa nae si kashikwa MKONO na Sadala, still bado anakimbiza na huyu mwamba soko la Ulaya na US kalishika sana mwaka huu, kuifikia records ya nyimbo ya Essence swala dogo.

NB:Ogopa sana mawazo ya kijinga yanayo ongozwa na chuki.
 
Huyu jamaa nae si kashikwa MKONO na Sadala, still bado anakimbiza na huyu mwamba seke la Ulaya na US kalishika sana mwaka huu, kuifikia records ya nyimbo ya Essence swala dogo.

NB:Ogopa sana mawazo ya kijinga yanayo ongozwa na chuki.
Jamaa anatisha sana
 
Love nwantiti.

Rayvany akiacha uswahili Atafika mbali Sana .
Ona Jamaa walivyojiachia kwenye Billboard chart
Screenshot_20211129-184140_Chrome.jpg
Screenshot_20211129-184140_Chrome.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom