Wizi wa vifaa vya magari

doama

JF-Expert Member
Nov 29, 2013
808
650
1464750643890.jpg
1464750663992.jpg

Wezi ndo wamemfanyia rafiki yangu figisufigisu namna hii. Yani mtu amejipanga maisha yake yasonge mbele wao ndo wanakuja kukurudisha nyuma tena.
 
Jamaa anasema wala haendi mnadani ili wabaki navyo
 
bongo tambarare ni aibu mbele ta wenzetu yaani mtu unaiba visivyoibwa popote ulimwengu huu
 
No daladala=wapiga debe kukosa kazi,mbona tutalia sana mitaani.
 
sitaki kukumbuka nilivoamkaga na kuikuta ist yangu karibu nizimie,,pole sana ishare the pain ila nashukuru comprihensive iliniokoa,,sii chini ya three million hapo...nakuombea amani ya moyo,,just in time utakuwa poa,,
 
Back
Top Bottom