Wizi wa Mtandao (ATM) unaotokea katika banki ya NMB tawi la Benki House Dar es Salaam

Ndugu wana jamii forums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya kuhusu usalama wa fedha za wateja, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki pale uchunguzi utakapokamilika. Hata hivyo, ili kusaidia uchunguzi, tumewasiliana na mlalamikaji ili kutusaidia na uchunguzi kwa kutoa taarifa zaidi kuhusu mteja. Ili kulinda taarifa za mteja, tunaomba radhi hatuwezi kuweka taarifa hizo hapa.

Ndugu wanajukwaa, NMB iko makini kusimamia maadili mojawapo ikiwa nikuhakikisha fedha za mteja ni salama muda wote.

NMB pia inapenda kuwahakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki.

Kama kutatokea umepata huduma isiyoridhisha au ufanyajikazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com

2.Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com

3.Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe “Siri”)

Makao Makuu ya NMB,

P. O. Box 9213,

Azikiwe/Jamhuri Street,

Dar es Salaam, Tanzania.

4.Au kwa kupiga simu zifuatazo:

0658 751 000 Tigo

0779 751 000 Zantel

0685 751 000 Airtel

0800 751 000 Vodacom
 
Huwa mnapojitokeza kama hivi natamani nimwage tusi. Misbehaving Nmb imekuwa too much. Kesi za mawasiliano Kati ya watumishi na majambazi. Pindi mteja anapotoa pesa nyingi simeripotiwa Sana. Mchangiaji alietoa maoni wafanyakaz wa benk kutoaminiwa tena ni kitu cha msingi Sana.

Nilikuwa na kamilioni 20 kangu ka mkopo. Nadhani kalinitesa Sana Nmb.

Siku chache hapo nyuma nimekuwa nikikuta pesa kwenye akaunti yangu wkt sijaweka Mimi. Lkn najua wezi watumish wa Nmb wanaiba wanapitishia via account za Wateja.

Mke wangu anarejeshewa mkopo ambao hajakopa yeye. Yaani inatia hasira. Siku hizi za watumishi hewa zimetibua uozo mwingi. Mke wangu akaunti Yake kuna MTU anatazama salio kila siku chache baada ya mwisho wa mwezi inamaana kuna MTU Ana card doto. Ule mkopo unaorejeshwa kakopa Nani. bado ni kitendawili. Kwa sasa baada ya Dr Magufuli mkopo unakatwa hazina, then siku chache baadae unarejeshwa kiasi kile mile. wife akaniuliza sweetie what the hell is going on? nikamwambia maadam wanazirejesha cool down then jipange. a certain monster alikopea mshahara wake.

bank na utumishi/halmashaur nchini zinahusika hapo.

Nimeamini kweli kwamba Magufuli aombewe kwa sababu taasisi nyingi nchini zinatakiwa kutumbuliwa.
Tanzania tangia miaka ya 80 hakuna benk tena. bank hazifany kazi ya benk.

Bank za nchi za baadh ya nchi nilizowahi kutumia ndio pekee zinafanyakile kinachostahili. Nchi hii imebaki na wezi/watumishi/utumishi na mawakala wao nabenk.

Ni Nani hajui mkopo 18% at least kila level wanakula 10% yao? Hadi DED maafisa utumishi na bankers. Wizi wa kwenye ATM na kuchora dili na majambazi juu ya mteja anaetoa amount kubwa kufwata na pikipiki ama auwawe njiani au afwatwe hadi kwake. Nchi hii imeharibika.
 
Waacheni wawapige, komeni walipokuwa wanasoea wizi kwa njia ya mtandano mlikuwa wapi wacha muibiwe mpaka mkome makapuku nyie. Kwanini msiweke pesa kwenye vinu?
 
Hivi wabongo tuna shida gani? Kwanini mtu anapoelezea habari ya maana lazima atokee limbukeni mmoja aweke hadithi yake ya kujidai ili aonekane zinga la janja kumbe ni limbukeni? Sasa ulichoandika kina uhusiano gani na thread?
Mbona una hasira hivyo isikute una kipande cha ndimu pemben!
 
Waacheni wawapige, komeni walipokuwa wanasoea wizi kwa njia ya mtandano mlikuwa wapi wacha muibiwe mpaka mkome makapuku nyie. Kwanini msiweke pesa kwenye vinu?
Una roho mbaya huwezi changia jinsi hii!
 
Ndugu wana jamii forums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya kuhusu usalama wa fedha za wateja, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki pale uchunguzi utakapokamilika. Hata hivyo, ili kusaidia uchunguzi, tumewasiliana na mlalamikaji ili kutusaidia na uchunguzi kwa kutoa taarifa zaidi kuhusu mteja. Ili kulinda taarifa za mteja, tunaomba radhi hatuwezi kuweka taarifa hizo hapa.

Ndugu wanajukwaa, NMB iko makini kusimamia maadili mojawapo ikiwa nikuhakikisha fedha za mteja ni salama muda wote.

NMB pia inapenda kuwahakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki.

Kama kutatokea umepata huduma isiyoridhisha au ufanyajikazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com

2.Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com

3.Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe “Siri”)

Makao Makuu ya NMB,

P. O. Box 9213,

Azikiwe/Jamhuri Street,

Dar es Salaam, Tanzania.

4.Au kwa kupiga simu zifuatazo:

0658 751 000 Tigo

0779 751 000 Zantel

0685 751 000 Airtel

0800 751 000 Vodacom
Kuna tabia ya kuchanganya noti za 2000 na za 10000 kwenye ATM tumetoa ripoti zaidi ya mara milioni but tatizo Ndo linazidi.
 
Ndugu wana jamii forums,

Tunashukuru kwa maoni yenu mliyoweka hapa juu ya kuhusu usalama wa fedha za wateja, NMB inafanyia uchunguzi maoni na malalamiko yenu na tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki pale uchunguzi utakapokamilika. Hata hivyo, ili kusaidia uchunguzi, tumewasiliana na mlalamikaji ili kutusaidia na uchunguzi kwa kutoa taarifa zaidi kuhusu mteja. Ili kulinda taarifa za mteja, tunaomba radhi hatuwezi kuweka taarifa hizo hapa.

Ndugu wanajukwaa, NMB iko makini kusimamia maadili mojawapo ikiwa nikuhakikisha fedha za mteja ni salama muda wote.

NMB pia inapenda kuwahakikishia wateja na jamii kwa ujumla kwamba itaendelea kusimamia sera zote za benki.

Kama kutatokea umepata huduma isiyoridhisha au ufanyajikazi usiofuata maadili, uaminifu na uadilifu, tafadhali toa taarifa kupitia njia zifuatazo:

1.Kupitia tovuti: http://www.nmbtz.com

2.Kupitia e-mail maalumu: whistleblower@nmbtz.com

3.Kwa posta – Unaweza kutuma barua kwa Afisa Mtendaji kama ifuatavyo:

Afisa Mtendaji Mkuu (Bahasha iandikwe “Siri”)

Makao Makuu ya NMB,

P. O. Box 9213,

Azikiwe/Jamhuri Street,

Dar es Salaam, Tanzania.

4.Au kwa kupiga simu zifuatazo:

0658 751 000 Tigo

0779 751 000 Zantel

0685 751 000 Airtel

0800 751 000 Vodacom

Nashukuru kwa kazi nzuri mnayo jinadi kuifanya...japo matunda haypo...tuzungumze ukweli ni kwamba mwazidiwa saana...jaribuni kujifunza kwa wengine wao wanaweza vipi dhibiti huo wizi wa mtandao katika benki zao??

Hebu rejea..taarifa hii ya mwaka 2013
THURSDAY, FEBRUARY 14, 2013
Wizi wa ATM watikisa nchini

Katika taarifa hiyo ya mwaka 2013 bado benki yenu inaongoza kwa matukio hayo...nimeshangaa kutoiona CRDB Bank, Benki ya Posta nk hazimo katika orodha za matukio ya wizi wa namna hiyo...hivyo si vibaya kujifunza toka kwao, japo ni washindani wenu ila vyema mkajifunze toka kwao!

Robot la Matope
mansakankanmusa
NMB Tanzania
Mkendo
K.Msese
 
Back
Top Bottom