Wizi wa mitihani

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
165
Ikiwa imebaki siku moja au moja na nusu kwa std 7 kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi.tumezoea kuona wanafunzi wakifaulu kwa wingi kwenda sec za kata pamoja na wadau mbalimbali kulalamika kuwa mitihani inaibwa sana tena siku za mitihani na wasimamizi wasio waadilifu.mwaka huu nasikia utaratibu umebadilika eti walmu wakuu ndo watakaa na mitihani mashuleni je huu co ndo utakuwa wizi mkubwa zaidi?nawasilisha

Kwa nini uhofie wizi kwa waalimu wakuu wakati hata baraza la mitihani kwenyewe mitihani inavuja? Wizi wa mitihani Tz limekuwa jambo ambalo limezoeleka sana

Kwa nini uhofie wizi kwa waalimu wakuu wakati hata baraza la mitihani kwenyewe mitihani inavuja? Wizi wa mitihani Tz limekuwa jambo ambalo limezoeleka sana

lakini hili la darasa 7 ni too much wanafunzi 103 wanafaulu wote kwenda sec hata wasiojua kusoma na kuandika wanafaulu hu c wizi wa waziwazi

Mmh! mimi huwa najiuliza kwanini wanafunzi siku hiza wanafaulu sana mitiihani ya drs 7 lakini wakifika sec. wengi wao wana score zero why?

Mmh! mimi huwa najiuliza kwanini wanafunzi siku hiza wanafaulu sana mitiihani ya drs 7 lakini wakifika sec. wengi wao wana score zero why?

wanafanyiwa mitihani na wasimamizi au kuna kuwa na kikosi kazi (task force) pale shuleni ambao ni walimu wenyeji

wanafanya hivyo ili iweje? wanania nzuri kweli na taifa la kesho?

hawana nia nzuri na taifa letu.tatizo siasa ukifelisha unashughulikiwa.shule ina wanafunzi 250 walimu 3 wakifelisha wanashughuilikiwa

Wanafunzi wanachaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza na si kufaulu. Umeshawahi kuona mitihani ya darasa la saba inavyofungwa?, ni zaid ya 4m4 na 4m6. Hakuna wiz, madudu wanafanya ndani ya chumba cha mtihani believe me or not huo ndio ukweli.

Hapo hakuna Mwl mkuu atayependa shule yake ifanye vibaya. Hilo ndio jibu mkuu.

acheni waalimu wapige pesa unajua pepa moja wanauza elfu 80000 tatizo serikali haiwajali mie naona sawa tu sababu serikali sio sikivu wacha waibe tu maana kila mwaka toka nikiwa mtoto mitihani inaibiwa na wala hawatafuti njia mbadala ya kuitunza wewe sikiliza redio kesho na usome magazeti lazima utasikia tu vituko vya wizi wa mitihani mala mwalimu kakamatwa chooni mala mwingine kashikwa darasani haya yote ni sababu ya njaa

Acha kujizoesha ubaya,umesahau kifungo pamoja na kutuzalishia wasomi bandia ambao ni mzigo kwa taifa mwisho wake matatizo makubwa nchini kutokana na ukosefu wa wataalamu

Mmh! mimi huwa najiuliza kwanini wanafunzi siku hiza wanafaulu sana mitiihani ya drs 7 lakini wakifika sec. wengi wao wana score zero why?

siku hizi wanafunzi wa darasa la saba wanachaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza. Si kama kipindi cha zamani. Hakuna wizi wowote unaofanyika.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom