dedam
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 845
- 165
Ikiwa imebaki siku moja au moja na nusu kwa std 7 kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi.tumezoea kuona wanafunzi wakifaulu kwa wingi kwenda sec za kata pamoja na wadau mbalimbali kulalamika kuwa mitihani inaibwa sana tena siku za mitihani na wasimamizi wasio waadilifu.mwaka huu nasikia utaratibu umebadilika eti walmu wakuu ndo watakaa na mitihani mashuleni je huu co ndo utakuwa wizi mkubwa zaidi?nawasilisha