Wizi wa Magari: Godbless Lema achunguzwa na Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa Magari: Godbless Lema achunguzwa na Polisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kishongo, Aug 13, 2011.

1. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#1
Aug 13, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Shamsi Vuai Nahodha amehoji kwa nini aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Dar es Salaam (RCO), Kamishna Msaidizi wa Polisi(ACP), Abdallah Zombe hakutoa mapema taarifa za uhalifu zinazomhusisha Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema.

Alikuwa akijibu swali kuhusu hatua ambazo jeshi hilo limezichukua dhidi ya Lema kuhusiana na tuhuma hizo ofisini kwake, Dar es Salaam jana alipokutana na waandishi wa habari kuzungumzia mafanikio ya wizara hiyo katika kipindi cha miaka 50 ya uhuru na changamoto zinazoikabili. Hata hivyo, alilitaka jeshi hilo kutokuzipuuza taarifa hizo.

Aliwaagiza maofisa wa jeshi hilo kupitia kwa Kamishna wa Polisi Utawala na Fedha, Clodwig Mtweve kumuita Zombe na kumwuliza juu ya tuhuma hizo na kuzifanyia kazi.

“Sisi tunasema kwa kila taarifa inayotolewa inakuwa na chembe ya ukweli. Labda niwape mfano mmoja, nitatumia mfano mbaya kidogo... ukikutana na mlevi akakwambia kuwa katika njia hii kuna majambazi japo ni mlevi lazima utakimbia kupitia njia nyingine;
Kwa hiyo hata hizi taarifa za Zombe hatupaswi kuzipuuzia kwani hawezi mtu mzima kusimama na kutoa taarifa kama zile hadharani hivihivi tu. Kwa hiyo maofisa wa jeshi nendeni mkae naye muulize maana inaonekana ana taarifa nyingi.”

Agosti Mosi mwaka huu, Zombe alimhumu Lema kuwa alikuwa na mtandao wa uhalifu wa wizi wa magari akidai kwamba anao ushahidi wa tuhuma hizo kwa kuwa alipokea taarifa hizo wakati akiwa RCO Dar es Salaam ambazo alidai kuwa alikuwa ameshaanza kuzifanyia kazi kabla ya kukamatwa na kuwekwa ndani kwa tuhuma za mauaji.

Source: Gazeti Mwananchi.

My Comment: Muda si mrefu rangi halisi za huyu mbunge zitakuwa hadharani.
Waliopoteza kura zao kumchagua imekula kwao.

2. mchadema

mchadema JF-Expert Member

#2
Aug 13, 2011
Joined: Jul 8, 2011
Messages: 412
Likes Received: 5
Trophy Points: 33

we ni mpuuuzi, mjinga,unafikiri kwa ku2mia makalio, kichwani umejaa hajakubwa kama huyo unayemshabikia.(Zombe)

3. Crashwise

Crashwise JF-Expert Member

#3
Aug 13, 2011
Joined: Oct 23, 2007
Messages: 22,172
Likes Received: 862
Trophy Points: 280

serikali legelege wanaweweseka na bado....

Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
4. K

Kabonde JF-Expert Member

#4
Aug 13, 2011
Joined: Aug 12, 2008
Messages: 421
Likes Received: 3
Trophy Points: 0

Kishongo Lema anajulikana alikuwa akifanyakazi gani muda si mrefu watetezi wake watamkimbia na kumkana hawamjui.

5. K

Kabonde JF-Expert Member

#5
Aug 13, 2011
Joined: Aug 12, 2008
Messages: 421
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Majambazi waliwahi kuitikisa serekali naamini mwizi lazima haukumiwe kwa maovu yake Lema lazima alipie uovu alioutenda

Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
6. Ringo Edmund

Ringo Edmund JF-Expert Member

#6
Aug 13, 2011
Joined: May 10, 2010
Messages: 4,895
Likes Received: 28
Trophy Points: 0
ssasa hapo anaechunguzwa ni nani kati ya zombe na lema.
tumia ****** kunya na kichwa kufikiria na baada ya kunya utawaze.

7. Power G

Power G JF-Expert Member

#7
Aug 13, 2011
Joined: Apr 20, 2011
Messages: 3,911
Likes Received: 88
Trophy Points: 145
Iwapo kila tuhuma inayotolewa inakuwa na chembe ya ukweli na inafanyiwa kazi, Mbona madai ya Mwakyembe ya mpango wa kumuua hayakufuatiliwa? Mwakyembe alitoa ushahidi wa kina katika hilo sakata lakini hakuna kilichofanyika. Labda ni kwa kuwa mpango wa mauaji ulikuwa unafanywa kwa kushirikiana na vyombo vya usalama likiwemo jeshi la polisi na usalama wa taifa???

8. Mufiyakicheko

Mufiyakicheko JF-Expert Member

#8
Aug 13, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 893
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

magamba kwa kutapatapa hawajambo kuna tetes ziliibulia kwamba atatengenezewa kesi ya madawa ya kurevya muke au yeye mwenyewe wamechemka wameanziza ya ujambazi tujiulize huyo zombe ndojambazi kaperekwa hadi mahakamani tumeona mahakam zetu zisivyo tenda haki kwa mabosi viongozi wengi wa chama tawar na tasisi zake wanabebana

Niwakumbushe mnao jifanya mpo juu ya shelia taa ya umeme haizimwi kwa kupuliza na mdomo au kwa maji

polopaganda za kuwasaidia ni kuboresha huduma za jami si kuwazima wapinzani munavo waita nyie minasema ni watetezi wa wachovu kuwatengenezea kesi haisaidii zombe muda ote alikuwa wapi? Kuhoji bungeni ndoakakumbuka kwamba alikuwa jambazi wa magali

9. H

Hute JF-Expert Member

#9
Aug 13, 2011
Joined: Nov 25, 2010
Messages: 6,053
Likes Received: 3,920
Trophy Points: 280
hana maana huyo zombe, amekosa cha kuongea....

10. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#10
Aug 13, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Unajaza najisi kwenye jamvi. Kama huna hoja kaa kimya, si kuonyesha udhaifu wako kwa kutumia matusi.

11. K

Kabonde JF-Expert Member

#11
Aug 13, 2011
Joined: Aug 12, 2008
Messages: 421
Likes Received: 3
Trophy Points: 0
Mchadema umeshikwa pabaya matusi ya nini.

12. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#12
Aug 13, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Inasikitisha, unatumia matusi kama ngao. Umeshindwa kabisa kutumia nguvu ya hoja? Pole!

13. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#13
Aug 13, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Lazima sheria ifuate mkondo wake, kama alikuwa jambazi ... jambazi ni jambazi tu, lazima ahukumiwe bila ya kujali yeye ni nani sasa katika CHADEMA. Ikiwezekana mwaandalie wakili mapeema.
Kwa hizi tuhuma dhidi ya Lema ni ngeni? Inafahamika kuwa hana historia nzuri, aliwahi kuwa na kesi kibaao pale mahakamani Arusha.

14. Angel Msoffe

Angel Msoffe JF-Expert Member

#14
Aug 13, 2011
Joined: Jun 21, 2011
Messages: 6,797
Likes Received: 74
Trophy Points: 145

<br / zombe aliwapiga wa2 risasi na kuwaibia madini.

15. Anheuser

Anheuser JF-Expert Member

#15
Aug 13, 2011
Joined: Mar 23, 2011
Messages: 1,962
Likes Received: 46
Trophy Points: 145
Lema, please sue this guys's ass and the whole government, amesha conclude kwamba shutuma zina ukweli, hiyo ni defamation tayari.

Hivi hawa watu Kikwete huwa anawaokota wapi jamani? Maana mpaka umteue mtu ubunge wa bure na kumpa Uwaziri nilitegemea ana distinction na ma uwezo fulani unayotaka ukusaie kwenye cabinet, kumbe ni lizandiki moja sijui limetokea wapi.

16. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#16
Aug 13, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Lema amepanic, anatafuta pa kujificha....ubavu wa kushtaki hana.

17. n

nguluvisonzo JF-Expert Member

#17
Aug 13, 2011
Joined: Dec 27, 2010
Messages: 511
Likes Received: 7
Trophy Points: 35

Kimya kingi kinamshindo,acha magamba waeleze kila kitu akianza yeye mtasikia,kwa hali ya kawaida Lema angepinga sana lakini nafikiri kuna wanasheria wana take note on the whole issue then they will be liable for defamation.Ndio zile pesa Zombe anazodai serikalini zitakapo kuwa kwake ni daraja kwenda kwa Lema.

18. S

Simcaesor Senior Member

#18
Aug 13, 2011
Joined: Jul 15, 2011
Messages: 112
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
zombe anatuoana sisi bibi zake, waanze kumkamata yeye na kumfungulia mashtaka kwa kuficha majambazi, mana yake anawajua wengi.

19. Kishongo

Kishongo JF-Expert Member

#19
Aug 13, 2011
Joined: May 4, 2010
Messages: 932
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Jipe moyo, lakini ukweli ni kwamba Mhe Lema anaonekana kukosa raha tangu Zombe aanze kumtaja juu ya uhalifu wake wa zamani. Ni kama kutonesha kidonda, alidhania hayo mambo hayataibuka na sasa rekodi zake za kihalifu ambazo zipo hata mahakamani zitakapowekwa hadharani zitasababisha kifo chake kisiasa.
Anavuna alichopanda.

20. z

zamlock JF-Expert Member

#20
Aug 13, 2011
Joined: Dec 25, 2010
Messages: 3,849
Likes Received: 53
Trophy Points: 145
washughulikie mafisadi kwanza na hata kama alikuwa mwizi ni hali ya maisha iliyosababishwa na wana magamba kwa sababu wao ndio wezi wakubwa kwa sababu wanawaibia wananchi pesa nyingi sana

Loading...