Wizi wa mafuta uliogunduliwa na DC Sara Msafiri sijaiona Waziri au Waziri Mkuu au Rais akilisemea, ni mradi wa wakubwa?

... hiyo ni promotion au demotion kwa DC Sara Msafairi aliyeibua wizi?
Wizi ajaibua yeye, ni ma officer wa Tiis ndio waligundua, tiis mmoja alikuwa dereva wa Roli katika yanayoingia mne,,kwaiyo Kama ni pongezi Ni kwa idara ya usalama, na wao huwa si wakamataji ,,

DC ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya, kazi ikishaisha ye ndio uvamia na polisi n vyombo vya habari kwenye ukamataji,

Kwaiyo uyo DC kuhamishwa hatujui ila huenda pia ni kwa usalama wake zaidi
 
DSO anariport kwa nani?,kwani ukiambiwa rais au waziri amegundua madudu kwenye taasisi flani unadhani ni yeye ndo kaenda front?
 
Wizi ajaibua yeye, ni ma officer wa Tiis ndio waligundua, tiis mmoja alikuwa dereva wa Roli katika yanayoingia mne,,kwaiyo Kama ni pongezi Ni kwa idara ya usalama, na wao huwa si wakamataji ,,

DC ni mwenyekiti wa kamati ya usalama ya wilaya, kazi ikishaisha ye ndio uvamia na polisi n vyombo vya habari kwenye ukamataji,

Kwaiyo uyo DC kuhamishwa hatujui ila huenda pia ni kwa usalama wake zaidi

huyo tiss hakujua nani mwenye mradi huo wakati yeye ni dereva
 
Ndiyo hajenda sasa,huyu mama hana muda wa kuzindua mashimo ya vyoo
Lkn ana muda wa kwenda kupanga nyanya soko la Kariakoo. Na kuwachagulia viongozi sokoni.

Ndiyo maana rais Buhari alisema "mwanamke mahala pake ni jikoni".
 
Wacha wachote mkuu. Watanzania tulio wengi hatujui nini tunataka
 
Lkn ana muda wa kwenda kupanga nyanya soko la Kariakoo. Na kuwachagulia viongozi sokoni.

Ndiyo maana rais Buhari alisema "mwanamke mahala pake ni jikoni".
Vumulieni maumivu hadi baada ya 10yrs
 
Vumulieni maumivu hadi baada ya 10yrs
Jibu hoja Mmawia usiruke ruke kama maharage jikoni.

Kwann mama aende kuangalia nyanya sokoni na kuwachagulia viongozi halafu ashindwe kwenda kuangalia wizi mkubwa na wa kutishia usalama wa nchi pale Kigamboni?
 
Maumivu ya kichwaa huanza poolepoole
 
Ukisikiliza na kuiona Habari ya wizi wa mafuta baada ya flow meter ulioibuliwa na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni akishirikiana na kamati yake ya ulinzi na usalama unapata picha wa husika walifanya hujuma hiyo wakijua Kuna Kinga toka kwa vigogo wa Serikalini.

Ni mradi mkubwa ambao ulichukua muda wa miaka takiribani mitatu hadi minne kumalizika ukianza na ujenz wa nyumba na ukuta mkubwa, karakana ya kubadili mfumo wa gari za mchanga kuwa na uwezo wa kubebwa mafuta, ujenzi wa mabomba na connection ya kuibia mafuta baada ya flow meter, mfumo wa ulinzi katika nyumba ile n. k. Ukiona na ukasikia simulizi utafikiri ni movie kumbe kweli.

Kutokana na unyeti wa tukio lenyewe, niliitarajia Waziri wa nishati angetembelea, Waziri mkuu angetembelea kujionea hali ilivyo, hata kutoa tamko juu la hilo, hata mama mwenye nyumba kutoa neno.

Kunyamaza kwa wakubwa kunaweza kuhatarisha maisha ya Mh. Sara Msafiri na angepatiwa ulinzi wa ziada, maana kwa jinsi ilivyo ni hatari sana.

Nashangaa hata Waziri Mkuu yupo kimya, atakuwa anajua huo ni mradi yao maana hata wazir wa nishati, hataki kuliongelea. Ikumbukwe issue ya malori, faster Waziri Mkuu alisafiri maana haikuwa na maslahi kwao.

Wambura akaua majambazi wawili tu kapandishwa cheo, Sara Msafiri kaibua uhujumu uchumi uliodumu kwa muda mrefu lakini hakuna aliyelitolea tamko hata kama kuna uchunguzi wa kamati ya ulinzi na usalama Kigamboni. Usishangae DC akapigwa chini au kuhamishwa.

Mwenye nyumba hajulikani, Serikali wangeichukua hiyo nyumba na eneo hilo kama wanavyotaifisha Mali na magari yaliyobeba magendo, kutokufanya hivyo mimi naamin huo ni mradi wa vigogo wa serikalini.

Ukiangalia ile taarifa haiko sawa...nina wasiwasi ilikuwa ya kukurupuka mradi tu DC aonekane na Mama asitupwe kwenye uchaguzi.
 
Uchunguzi wa kina ufanywe kwani hujuma hiyo ni ya watu wenye uwezo kifedha na inawezekana wanashirikiana na wenye mamlaka.
 
Huyu siyo rais wa namna hiyo anaheshinu taasisi ya urais
Alipoenda kariakoo aliamua kuidharau taasisi hiyo sio?? Au unamaana gani? Helewa kuwa Rais wa Tz ni kwa kila kitu, kama unabisha niambie nikiongozi gani uliwahi kusikia amejiuzuru kwa sababu amekinzana na Rais, yaan baada ya kuona Rais anapindisha sheria.
 
Mama Samia hazindui vilivyozinduliwa
 
Back
Top Bottom