Wizi wa mafuta uliogunduliwa na DC Sara Msafiri sijaiona Waziri au Waziri Mkuu au Rais akilisemea, ni mradi wa wakubwa?

Ukisikiliza na kuiona Habari ya wizi wa mafuta baada ya flow meter ulioibuliwa na Mkuu wa wilaya ya Kigamboni akishirikiana na kamati yake ya ulinzi na usalama unapata picha wa husika walifanya hujuma hiyo wakijua Kuna Kinga toka kwa vigogo wa Serikalini.

Ni mradi mkubwa ambao ulichukua muda wa miaka takiribani mitatu hadi minne kumalizika ukianza na ujenz wa nyumba na ukuta mkubwa, karakana ya kubadili mfumo wa gari za mchanga kuwa na uwezo wa kubebwa mafuta, ujenzi wa mabomba na connection ya kuibia mafuta baada ya flow meter, mfumo wa ulinzi katika nyumba ile n. k. Ukiona na ukasikia simulizi utafikiri ni movie kumbe kweli.

Kutokana na unyeti wa tukio lenyewe, niliitarajia Waziri wa nishati angetembelea, Waziri mkuu angetembelea kujionea hali ilivyo, hata kutoa tamko juu la hilo, hata mama mwenye nyumba kutoa neno.

Kunyamaza kwa wakubwa kunaweza kuhatarisha maisha ya Mh. Sara Msafiri na angepatiwa ulinzi wa ziada, maana kwa jinsi ilivyo ni hatari sana.

Nashangaa hata Waziri Mkuu yupo kimya, atakuwa anajua huo ni mradi yao maana hata wazir wa nishati, hataki kuliongelea. Ikumbukwe issue ya malori, faster Waziri Mkuu alisafiri maana haikuwa na maslahi kwao.

Wambura akaua majambazi wawili tu kapandishwa cheo, Sara Msafiri kaibua uhujumu uchumi uliodumu kwa muda mrefu lakini hakuna aliyelitolea tamko hata kama kuna uchunguzi wa kamati ya ulinzi na usalama Kigamboni. Usishangae DC akapigwa chini au kuhamishwa.

Mwenye nyumba hajulikani, Serikali wangeichukua hiyo nyumba na eneo hilo kama wanavyotaifisha Mali na magari yaliyobeba magendo, kutokufanya hivyo mimi naamin huo ni mradi wa vigogo wa serikalini.
Imetoka iyooo ikirudi pancha... Baada tu ya ule wizi the next day mafuta yakapanda bei.. Hii ni dunia ya walio nacho usijaribu kupambana nao
 
Ukitaka kujua huu mradi ni wa vigogo ni kuzimwa kwa tume iliyoundwa kwa mbwembwe na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.Waliambiwa wamiliki wa maeneo hao wajitokeze hawakutokea,tukaambiwa mali zote zitataifishwa hakuna kilichotaifishwa,polisi wakaripoti kuwa watuhumiwa walikamatwa,hakuna tuliyemuona amekamatwa na kufikishwa mahakamani.Ni dhahiri shahir wizi huu ni wa vigogo.Wao wanakula,sisi tunalizwa na tozo tu.
 
Back
Top Bottom