Wizi wa mafuta sheli za Mbeya unaumiza

lusaka city

Senior Member
Mar 17, 2015
146
116
Mbeya sasa imekuwa ni mchezo wa kawaida kuibiwa mafuta sheli unaona ni bora ukanunue kwenye kidumu sheli zinapishana km 2 bei za mafuta hazifanani ya kwanza petrol 1950 ya pili 1967 yaani ni changamoto kwetu wakazi wa Mbeya.
 
Jazia ARUSHA
 
Sheli ndio wapi? Au kule wanapouza Colgate, Kiwi na Pampers?
 
hata huelewek unazungumzia nini. wizi wenyewe hujaweza elezea ni upi na unazungumzia shell kama shell wanakuibia nenda kanunue total,puma,gapco n.k kwan lazima ununue shell? malalamiko mengine ni ya kitoto sana. na kama petrol ni issue tumia gari la diesel. siyo unakuja kulia lia hapa kama mtoto.

Mbeya sasa imekuwa ni mchezo wa kawaida kuibiwa mafuta sheli unaona ni bora ukanunue kwenye kidumu sheli zinapishana km 2 bei za mafuta hazifanani ya kwanza petrol 1950 ya pili 1967 yaani ni changamoto kwetu wakazi wa Mbeya.
 
hata huelewek unazungumzia nini. wizi wenyewe hujaweza elezea ni upi na unazungumzia shell kama shell wanakuibia nenda kanunue total,puma,gapco n.k kwan lazima ununue shell? malalamiko mengine ni ya kitoto sana. na kama petrol ni issue tumia gari la diesel. siyo unakuja kulia lia hapa kama mtoto.
 
mshana jr . kuna tatizo kubwa JF siku hizi .ukisoma maelezo ya huyu mtu analalamika jambo dogo sana. kama unaona vituo flan vya mafuta vinaiba unaachana navyo au unatoa tahdhari kuwa jamani shell wanaiba mafuta. lakini ukija kulia lia hapa na wakati kuna makampuni mengi inaonesha kuwa wanaume wa mikoani ni wazembe sana. na hivyo vituo vya shell vilishakufa miaka mingi sana. mi nina miaka zaidi ya 20 sijaviona.

....kuibiwa mafuta sheli ..... kidumu.....

Sheli za Mbeya? Kidumu? Wewe kijana nenda shule uongeze ufahamu. Darasa la saba halisaidii kitu siku hizi. Halafu utakuta humu ndani unabishana na ma-professor juu ya point zao wakati unaita vituo vya mafuta sheli.
 
Nashangaa sana kushambuliwa kwa mtoa mada wakati jambo lenyewe mmelielewa!

Sheli =kituo cha mafuta
 
Mtoa mada haeleweki, heading inasema wizi wa mafuta alafu content ameelezea tofauti ya bei kwenye vituo vya mafuta. Kwahyo ukienda na kidumu bei itapungua au?
 
Watanzania bhana kama hujaelewa mada unachangia nn . kumtukana mkuu Wa kaya ndio Uzi muhimu humu ndani?
 
Mbeya sasa imekuwa ni mchezo wa kawaida kuibiwa mafuta sheli unaona ni bora ukanunue kwenye kidumu sheli zinapishana km 2 bei za mafuta hazifanani ya kwanza petrol 1950 ya pili 1967 yaani ni changamoto kwetu wakazi wa Mbeya.
Unalalamika sana, na mbaya zaidi kwa elimu yako haikusaidii kudadafua, Umesahau kuwa mafuta yanayopatikana Dar na yanayopatikana Arusha , Moshi , Mbeya , Dodoma , Morogoro nk hayawezi yakawa na flat price simply because transportation cost incurred kuisafirisha hiyo bidhaa mpaka kuwafikia end user huwa tofauti, kilometers zinatofautiana, wale wa mbali zaidi bei yao kwa lita inapanda..
 
Back
Top Bottom