Wizi wa Kura, Tuweke CCTV Camera? -Changamoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa Kura, Tuweke CCTV Camera? -Changamoto

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by fikirikwanza, Apr 13, 2012.

 1. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #1
  Apr 13, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wadau mbalimbali baada ya kuwa na mazingira magumu sana ya uchaguzi, ikiwa ni pamoja na mashitaka mengi juu ya kuibiwa kura naomba japo tuanza kufikiria kuweka camera kwenye sehemu ta kudumbikiza kura maana kuna watu wanadumbukiza kura zaidi ya moja, vile makaratasi za kupigia kura wanakuwa wamezipata mapema.

  Mtu anakura kwenye semosi, angeziingizaje? eti makontena yanashikwa na kura zinaingizwaje? kwanini pia matokeo ya rais yasibandikwe kwenye vituo vya kupigia kura, kwanini redio na tv zinakatazwa kujumlisha matokeo halali ya vituoni na kutoa mwelekeo? Wale wanaoshikwa na majaribio ya Kuingiza kura feki wanaishi wapi? kwani nini hatupewi full details zao na nani anawatuma?

  Nawasilisha
   
 2. KML

  KML JF-Expert Member

  #2
  Apr 13, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  idea nzuri mheshimiwa..lakini kwenye serikali ya nani wakuwekee cctv?? wakishakuwekea wao waibeje???
   
 3. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #3
  Apr 13, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  watakata umeme..
   
 4. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #4
  Aug 14, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nadhani suala la kurekodi upigaji kura na hesabu zake iwe hoja mojawapo ktk kudhibiti wizi wa kura kwa kuingiza kura feki na wizi wa kura kwa kutoa matokeo ambayo sio sahihi, kuchakutua matokeo.Ukweli kwamba siku hizi teknolojia ya kuchuka picha imekuwa sana ni wazi sasa tufikirie kila kituo kuwa na kamera, ambayo inaonesha utumbukizaji wa kura/kupiga kura kwenyewe, harafu itamishiwa sehemu ya kuhesabu kura na baadaye kupiga picha nakala za matokeo, kama serikali haiwezi basi kila chama kiruhusiwe kuja na mitambo yake kwa kuzingatia taratibu, tunataka tupate picha tembea ili kuwa na ushahidi wa kutosha, kuwadhibiti mdai ya wanaoibiwa na wanaoiba kura.
   
 5. Crocodiletooth

  Crocodiletooth JF-Expert Member

  #5
  Aug 14, 2013
  Joined: Oct 28, 2012
  Messages: 9,650
  Likes Received: 3,503
  Trophy Points: 280
  MJUKUU UMENENA HAPA PANANICHANGANYA KWELI MANAKE CDM WANAWEZA ANGAIKA WEE KUMBE WENZAO WANAWATEGA TU chamno UIZI WA KURA kuna mathemosi ya chai na nasikia kuna ile ya kuamisha <pata> sijui wajukuu mtalindaje kura nchi nzima NA AINA GANI YA ULINZI UTUMIKE <HILI NI LA KULITAFAKARI KWELI> wenzenu wanawavizi tu! KALAGABAO!
   
 6. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #6
  Aug 14, 2013
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  kamera zitanasa themosi zinatoa kura badala ya chai
   
 7. r

  rpg JF-Expert Member

  #7
  Aug 14, 2013
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 3,516
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Dawa ni electronic voting!
   
Loading...