Elections 2010 Wizi wa kura Nyamagana uliandaliwa na JK ukashindikana

JK yuko mwanza tena kufanya kikao kingine kama hicho
 
Nakwambia jk mwaka hapati kitu amefulia huyoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Yawezekana pia ni barua ya kuchonga, tunaomba chanzo cha habari hii ili tuweze kuipima ukweli wake.
 
Ogopa watu wanaotaka uongozi kwa kila namna ...
 
Mwambieni aende na Iringa pia Musoma Mjini,
Dewji naye Chali Singida mjini
 
Mi naona kwenye simu yangu kila nikifungua new post icon inaniambia disabled....sasa sipati kitu tena hadi nije kwene net, naombeni msaada wenu bandugu
 
Back
Top Bottom