Wizi wa kura;ccm yatia aibu kimara-serikali za mitaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa kura;ccm yatia aibu kimara-serikali za mitaa

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Pdidy, Nov 12, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Ndugu watanzania wote...kwanza tunapenda kuwapa pole walioshiriki zoezi la upigaji kura serikali za mitaa...ni matumaini yangu wapo walioshinda na kushindwa......kwa upande wetu zoezi lilikuwa ni la aibu sana na vituko...kwanza nasikitika serikali ya jamhuri ya muungano kutumia watendaji wa kata katika uchaguzi.....
  Hapa kimara bucha na msewe tuliongozwa na dada mmojaa jamani hata shule hana sijui aliupataje huo ukatibu mtendaji....ilipofika zamu ya kuhesabu CCM walifikia kura 276 walipoanza kuhesabu za CHADEMA wakashtuka zinakaribia kumzidi Mgombea bwana R.massawe...wakazima taa wakadai taa inamatatizo...baada ya kuleta mishumaa mh DIWANI BWA RINGO AMBAE ALITIA AIBU YA MWAKA ALIPOINGIA NDANI NA KUANZA KUROPOKA OVYO OOH CHADEMA IMEIBA KURA...HAMAD WAKATI IMEZIMWA TAA...MABO YAKAGEUKA...GAFLA WAKADAI KURA ZA CHADEMA 276 NA CCM 398....MAWAKALA WA CHADEMA AWAKUTAKA KUSAINI ILE FORM NA KULALAMIKA UHUNI ULIOFANYIKA....MUNGU SI ATHUMANI WYULE DADA JAMANI NTAWALETEA FORM ALIOSAINI YA MATOKEO HATA KUANDIKA HAJUI AKJAZA FASTA...WAKATI ANAJAZA AKUWA ANAAGALIA HUKU CHINI WALIOJIHANDIKISHA KUPIGA 1160,,WALIOPIGA KURA 935....KURA ZA USHINDI ZA CCM NA CHADEMA NI 276+398=674...KUNA TOFAUTI YA DADI YA WATU KAMA 261AMBAPO KATIBU MTENDAJI AMEITWA KUULIZWA NA KUJIBU HAJUI ZILIPOENDA HIZO NYINGINE SIMPLE.HAYA NDIO MATATIZO YA KUWEKA WATU KUIBA KURA BILA KWENDA SHULE HATA KUIBA WANAKUIBIA KWA KUDESA......HATA MATOKEO YA KURA WALIKATAA KUTOA COPY WAKADAI NENDEN KWA MTENDAJI...MARA MTENDAJI ANASEMA NENDENI KWA HUYU KATIBU TAPELI PAMELA...AKAFWATA MKURUGENZI WA UCHAGUZI NDIPO ALIPOPIGA SIMU NA KUAMURU HARAKA SANA WAPATIWE MATOKEO...JAMANI WAMETOA COPY NITAIWEKA HAPA NI AIBU TUPU...TUNAOMBA WANASHERIA WENYE UWEZO WAJITOKEZE KUWASAIDIA MAANA INAONYESHA BW LISU YUKO NA KAZI NYINGI SANA KUFWATILIA....AIBU HII NITAITOA HADHARANI KESHO NA SAINI YA HUYO DADA NA MUHURI WAKE .....
  JUMAPILI MSHINDI KWA NJIA YA UTAPELI BW R.MASSAWE AMETANGAZA WANA CCM WOTE KUJA PALE WAFALME BAR KUTAKUWA NA MBUZI WAWILI NA KITIMOTO 2 KUBWA ....HII NI AIBU YA TAIFA...ALAFU RAIS ANASEMA JAMANI MNAOSHINDWA MKUBALI MATOKEO KUMBE WANAJUA UCHAFU WANAOTUMIA KUSHINDIA.....


  MPENDA MAGEUZI
   
 2. Scientist

  Scientist JF-Expert Member

  #2
  Nov 12, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ha ha ha ha CCM hao...
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Nov 12, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  Jamani muwapeleke shule makatibu watendaji wenu labda sijamalizia kuna form ntaiweka kesho hapa inaonyesha kura za wajumbe na majina yao
  chini inaonyesha waliojihandikisha 1160,waliopiga kura 935 haya sasa soma vichekesho vilivyofwata

  jina la mgombea chama cha siasa-kura alizopata-saini

  lyaudi.e.kaka-----------ccm--------398

  iskaudie. Kaka------------ccm--------390

  abraham.m ................ccm..............318

  christopher j ccm ................313

  francis s chadema 91
  asha omar chadema 08
  g.mgasa chadema 126
  fatma haji chadema 10
  brighton swai chadema 199

  total 1853  waliopiga kura 935 ila kura za washindi ni 1853 hili nalo kaulizwa kura 918 zimekwenda wapi ...alishindwa kujibu na kudai yawezekana alikosea kwenye kuandika...kumbe ndio maana alikataa kutoa copy ya matokeo mapema aliposhtuka amekosea hesabu....ccm kazi mnayo
   
 4. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii mbona umechelewa sana kuitoa, muda umepita sana, tulishasahau.

  Ila nawashauri CHADEMA wawe makini sana na kuchagua wagombea, nadhani hii nayenyewe inaweza kuwaangusha. Mgombea wakwetu alikuwa hakubaliki kabisa kwa wapiga kura, siyo uongo, yaani ni mtu hata ujirani wake haelewani na mtu, pamoja na kusali kule kwa Kakobe. Na nimesikia anataka tena kugombea udiwani nikaishiwa nguvu. Kama kuna Kiongozi wa CHADEMA humu aifanyie kazi. Samahani siyo kampeni ila ukweli ndo huo nilidhani CCM wanamtumia aende kugombea kusudi washinde. Hii ni faida ya CHADEMA.

  Samahani kama nimemwaga mchele kwenye kuku wengi.
   
 5. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyo mgombea ni wa mkoa gani, jimbo gani, kata gani, mtaa gani? Ni muhimu ukatoa taarifa kamili ili viongozi wafuatilie

  Asha
   
 6. S

  Serayamajimbo Senior Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Apr 15, 2009
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli kama mambo yenyewe ndio haya lazima wanasheria wajitokeze kusaidia. Nilimuona Lissu akichambua ITV. Naona peke yake hatoshi kesi ni nyingi nchi nzima. wajitokeze wengine wajitolee kulinda demokrasia

  serayamajimbo
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kawaida yao ila kila chenye mwanzo kina mwisho
   
 8. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipe contact zenu nikupe hiyo habari (email).
   
 9. A

  Asha Abdala JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: Mar 21, 2007
  Messages: 1,134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 10. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #10
  Nov 13, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
 11. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #11
  Nov 13, 2009
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  ule wakati wangu wakuomba uraia Kenya umefika sasa. kwaherini Wabongo.
   
 12. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #12
  Nov 13, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,579
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Mkuu angalia usijekimbia jangwa ukajitupa kwenye "furnace" ambako vyuma huyeyuka vikawa uji mwekundu!
   
 13. I

  IMBOMBONGAFU Senior Member

  #13
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 7, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh,Duh..kukimbilia Kenya?duh...Kuna ndugu yangu kule Kyela naye kaniambia DR akirudishwa Kyela yeye ataomba uraia wa Malawi..Kuna kazi 2010
   
 14. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #14
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Siku nyingine mbebe tochi zenu na betri za akiba!

  Amandla.......
   
 15. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #15
  Nov 13, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Haya tumeyazoea kila sehemu
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  ni mgombea wa mkoa wa dar es salaam,kata ya kimara..mtaa wa bucha
   
 17. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #17
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  mkuu 4kelly bado ilifanyika tar 25.siku 30 means tar 25 bado
  siku 12
   
 18. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #18
  Nov 13, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,389
  Likes Received: 5,670
  Trophy Points: 280
  haswaaaaaaaaaaaaaaaa tatizo mtaji wanaotoa .........
   
 19. K

  K4jolly JF-Expert Member

  #19
  Nov 13, 2009
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 366
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani unategemea CHADEMA ikupe mtaji wa kwenda kuchaguliwa???
  Hapo ndo tunakojidanganya, kuwa Mbowe agawe pesa kila kijiji Tanzania nzima hiyo pesa ataipata wapi?? Ni vizuri tukaelewa kuwa uchaguzi hauitaji mtaji ni wananchi wenyewe wapate elimu ya uraia kwa kupiga kura kwa mgombea ambaye anakubalika.

  Angalia CCM sasa hivi imefikia wapi tatizo ni hizo pesa za uchaguzi, hakuna kingine. Wangeacha kila mgombea ajisimamie yeye mwenyewe awaeleze wananchi atawafanyia nini tusingekuwa tunaanza kuulizia mtaji wa uchaguzi.
   
 20. Sinkala

  Sinkala JF-Expert Member

  #20
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 1,505
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Pdiddy naomba uwe unaweka post zako vizuri ili zieleweke kwa urahisi. Sidhani kama ni uandishi mzuri iwapo utakuwa huweki hata nukta, mkato au paragraph.
   
Loading...