Wizi wa kupulizia dawa za kulevya kwenye vipeperushi jijini dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa kupulizia dawa za kulevya kwenye vipeperushi jijini dar es salaam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Mar 30, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kufuatia ugumu wa maisha, kunawizi umeingia Dar es salaam na inawezekana ukasambaa hata kwenye miji mingine mikubwa. Wizi huo uko hivi  1. Unaweza kupewa kipeperushi ambacho kimepuliziwa dawa na baada ya kupokea aliyekupatia ambaye anajifanya anauza bidhaa anazozitangaza kwenye kipeperushi hicho anakufwatilia kwa nyuma na gari nyingine na kukupora kila kizu baada ya wewe kupoteza fahamu.

  AU  2. Ukiwa unaendesha gari vijana wanakufwata na kukushitua kuwa gari inawaka moto then utafungua dirisha kutaka kuona nap engine kusimama. Watakwambia hakuna kitu vijana wanakudanganya hao. Ndani ya muda huo mfupi kwa namna ya ajabu ukifungua tU dirisha wanakupulizia madawa yenye radha na harufu kama pipi tamuu na kukufwatilia kwa matumaini kwamba utapoteza fahamu na wao kukunyanganya mali zako including kupora baadhi ya vitu kwenye gari.

  HIVYO KUWENI MAKINI UNAPOENDESHA GARI USIFUNGUE VIOO WALA KUPOKEA KIPEPERUSHI AU KUNUNUA NUNUA HOVYO CHOCHOTE KWENYE HIZO FOLENI ZA DAR . PIA WANAFANYA HUO UCHAKACHUZI WA FAHAMU HASA MAENEO YA PETROSTATION NA MAENEO YA MAEGESHO YA MAGARI KAMA MLIMANI CITY .


  TRUE STORY:
  Kuna jamaa yangu kama wiki mbili zilizopita, alikuwa anatoka kupata moja mbili kutoka baa moja inayojulikana kama Blackpoint iliyopo mjini kati muda wa saa moja hivi jioni, akaja kijana mmoja alionekana anashida sana ya kutaka kusaidiwa nauli, rafiki yangu akawa msamalia mwema akachomoa noti ya 1000 na kumpatia kijana, rafiki yangu alipokosea ni kumuuliza kijana kwani unaelekea mitaa ya wapi? Kijana akasema anaelekea kimara, jamaa akasema basi twende nitakuacha manzese maana mimi naelekea Sinza, My friend says the guy dressed very smart and he was looking as a graduate who is for that day alikwama kweli nauli, and you can’t even think if he is a criminal.  They started a journey from Posta via Jangwani, alipofika jangwani anasema aliaanza kujisikia kizunguzungu na kichefuchefu na kulikuwa na foleni kali sana . Akaamua alipofika magomeni achepuke kushoto ili apate pumzi kidogo nje, then he did not remember what went on until he found himself hospitali muhimbili akiwa hajitambui na wala hajui gari yake ipo wapi (he was driving a MarkX), na yeye mwenyewe akiwa bado na mawenge.  Jamani zikumbukeni namba za wenzi wenu kichwani, usiku huo mnamo saa saba za usiku alipopata fahamu vizuri alikumbuka namba ya mke wake, akampigia na akaja hapo hospitali. Gari yake iliyokuwa na vitu vyake kama Laptop, bank cards, simu etc havijaonekana mpaka tunavyoongea leo.  Madaktari wanasema, alivuta sumu, sasa swali ni je kwa nini Yule kijana hakudhurika na hiyo sumu hiyo kwa kuwa walikuwa naye mpaka magomeni alipoanza kujisikia vibaya? Au ni wimbi la vijana ambao wanakuwa wanakufuatilia na mmoja wao anajitoa muhanga wa kuvuta sumu hiyo na wengine wanakuwa wanakufuatilia kwa nyuma, na wakishakukamata wanakutupa na kumuokoa mwenzao, which I think it is possible.
   
 2. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Shukrani kwa tahadhari mkuu.!
   
 3. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #3
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  Mie sina gari, simu yangu tochi, nikitembea na hela kubwa elfu 5. Karibuni vibaka n big up kwa ubunifu wa hali ya juu. Ingekuwa Ulaya wangewaendeleza nyie, ila bongo siasa tupu!
   
 4. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #4
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Uko sirias au unatania?
   
 5. MADAM T

  MADAM T JF-Expert Member

  #5
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,675
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Thanks kwa taarifa bwana engmtolera
   
 6. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280

  Nachukizwa na Crap kama hizi,
  Kama huna cha kuchangia just do nothing bana,
  Crap... Crap..... Crap.....
  Now Days JF imevamiwa
  .
   
 7. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #7
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Vipi kuhusu watu wengine? tambuwa kuwa kibaka achagui hata hiyo elfu tano kwake ni dili,pia vipi kuhusu ndugu,jamaa na marafiki wanaokuzunguka?

  take care,hili ni kwa yeyote yule laweza kumkumba,tujihadhari na hawa vibaka kwani wanaturudisha nyuma na kutopotezea uhai
   
 8. duda

  duda Senior Member

  #8
  Mar 30, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  thanks kwa taarifa hizo, tutajitahidi kuwa makini
   
 9. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  thanx kwa taarifa hii stail kali ya vipeperushi? 2takwisha
   
 10. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  Mmmh!
  Ahsante kwa tahadhari.
  Mpe pole jamaa yako.
   
 11. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ahsante kwa info, DAWA ZIPO ZA KINGA AMBAPO HUMEZWA KWA TUKIO/JAMBO MAALUM TU. Majasusi ndio hutumia zaidi kwa hata kujibadili sura, vipo vidonge + sprays..//
   
 12. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  Punguza jazba mrembo, sioni kwanini unatokwa na povu. Nini kauli mbiu ya JF? .....where we dare to talk openly....
   
 13. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  Niko sirias mama, vijana wamekata tamaa, wakifanya ubunifu kwenye vitu vya maana, Halmashauri zinawaangusha, ubunifu wao wameuhamishia kwenye kugawana vya kwetu kwa njia salama.
   
 14. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 936
  Trophy Points: 280
  Ahsante kwa kunijuza kaka, si unajua dunia yenyewe imejaa ubinafsi? I was thinkin of me, myself and I...
   
 15. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mimi jana niliisikia kali,ilitokea hapo mliman city,kuna mdada alikua anapark gari yake akafanye shopping hapo Game,mara wakatokea wamasai wawili wakajifanya wanauza dawa ya kumpa mtot apetite,kweli huyo mdada mwanae alikua anasumbua sana kula,bas wakaongea bei wakamwambia elfu 80,baada a bargaai wakakubaliana,pia wakawa na dawa ingine ya kupunguza tumbo,nayo pia wakaelewana,mara baada ya dada kupokea dawa tuu hv akaanza kujisika vibaya,akaingia kwenye gari awashe ac,akaingiza funguo kwenye swtich akaangukia kwenye steling,gari ikaanza kupiga honi,huku milango imejilock,wale jamaa nao wakawa bussy wakataka kufungua milango,mara walinz wakatokea wakawakamata,wakaanza kumgongea yule dada ili afungue,alipopata fahamu akafungua milango,dar inatisha
   
 16. G

  Gabby Member

  #16
  Mar 30, 2011
  Joined: May 18, 2010
  Messages: 32
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Maisha ni magumu kwa kila mtu, Hivyo tuchukue tahadhari sana kila wakati maana watu wema ni wachache siku hizi. Wamasai wangefungua milango ingekuwaje? Nahisi wangelamba kila kitu. Tahadhari, tahadhari kabla ya hatari ndugu zangu.:hatari:
   
 17. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  thnx 4 info. Ila yte inasababshwa na hal ngum ya maisha! Kuanzia leo cpokei tn kpeperush hta kiwe cha dini ctak! Mambo gn haya kuibiana taratb hv?
   
 18. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #18
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Gari huna, na pesa pia huna. Lakini una kitoleo cha haja kubwa na kwa vibaka wengine hicho nacho kwao dili! Sasa endelea kuwakaribisha na kufanya mipango ya kuwaendeleza.............................
   
 19. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2011
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145

  umeniwacha hoi wewe!:bump2:
   
Loading...