Wizi wa kazi za Wasanii; Rich One akamatwa akijifanya yeye ndo Alikiba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wizi wa kazi za Wasanii; Rich One akamatwa akijifanya yeye ndo Alikiba

Discussion in 'Entertainment' started by dosama, Apr 30, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source Clauds Fm

  Rich one yule aliyeimba wimbo wa Hatuna kitu na Juma Nature alikuwa akimwibai msanui mwenzake wa Ubongo wa fleva kwa kudivert simu ya Alikiba kwake na watu wanapo omba shoo yeye anadai advance na ikiwezekana fedha yote then anatokomea.

  Msala unabaki kwa AK kuwa kala hela na atokei kwenye shoo.

  Meneja wa AK ndo alikuwa akieleza mtego aliowekewa hadi kukamatwa
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Piga miaka mingi huyo pambafu.Matairi yalikuwa hayapo mpaka wamfikishe kwa polisi nini.
   
 3. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  kumbe wanaibiana wenyewe kwa wenyewe? Kweli kikulachoo??
   
 4. andishile

  andishile JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,430
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  mmmh!sasa hiyo advance alikuwa anapewaje?maana kwa vyovyote alikuwa anasaini kajimkataba kakuchukua pesa,sasa si alikuwa anaenda physically?sasa iweje wasimjue kuwa sio ally kiba?au tuseme anapewa advance kwa kutumia mtandao wa simu(japokuwa sidhan kama mtu anaweza kukupa hela kirahisi bila makubaliano maalum)kama tigo pesa,mpesa au airtel money n.k sasa hata kama alidivert simu yake,ujue huwezi ku-divert pesa isiingie kwa ally kiba iende kwa mwingine!hapa hii ishu ni UTATA
   
Loading...