wizi wa kazi za ubongo wa fleva | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizi wa kazi za ubongo wa fleva

Discussion in 'Entertainment' started by Ndumbayeye, Nov 13, 2009.

 1. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #1
  Nov 13, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,813
  Likes Received: 1,057
  Trophy Points: 280
  hivi wanamuziki waliozoeleka wa bongo fleva wanaopitapita kwa wanamuziki wenzao wadogo (underground) na kuwaibia tungo zao ili wajipatie sifa za bandia si ndo ufisadi katika muziki huo? malalamiko yamekuwa mengi, labda kelele zikiongezeka hii copy and paste itapungua. wale walioibiwa kama wamo humu jf wajitokeze watoe ushuhuda!
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwanini kuangaza mbali kote huko wakati asilimia 95 ya nyimbo zenyewe hazina viwango?
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hiyo ipo sana tu lkn tatizo umasikini! UG wanadhani aki-flow mbele ya susperstar labda atapewa msaada! duh kumbe akitoka tu ki2 kinaenda hewani! afu jingine ni kwamba ma-prodyuza nao wanachangia sana haya mambo! wao ndio wanavujisha kwani ukienda studio wanakupa tarehe! ukimpa kisogo tu anamwita msanii wake wana copy-paste. unajua wanatoa sababu gani? "mgongano wa mawazo"
   
 4. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #4
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  unahitaji msaada wa 'kimawazo' kwanini wewe kila kitu ni kukashifu tu?
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kwa sababu binadamu tuna makuzi na exposure tofauti na hata mtazamo wetu lazima utofautiane. hivyo wewe ukianacho ni tambarare usidhani sote twakiona hivyohivyo.

  BTw, utabadili sana majina.
   
 6. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #6
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nakuona bado upo upo eeh! hahahahaha, majina si yangu! inakubidi na wewe ubadili kwani umeshafulia sana na hilo jina lako! nani asiyekufahamu JF?
   
 7. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #7
  Nov 13, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  a FOOL doesn't understand how 'IGNORE LIST TOOL' works, you are talking to yourself.. lolz
   
 8. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #8
  Nov 13, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  "nerd"
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Nov 13, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  wanamUziki wapi? wabongofleva!!!! unahangaika, waende shule kwanza, au angalau waajiri mameneja walioenda shule, kazi zao wanashindwa kuziheshimu wao wenyewe, UKIFANYA MUZIKI KAMA KAZI kila shairi unaloandika linakuwa na kopiraiti, sasa kama wewe umeandika peji mia moja za mashairi halafu unatembea na daftari mfukoni tuuu, mtu akikopi unaanza kulalama NIMEIBIWA!! utatuhakikishia vipi kama kweli uliandika wewe hayo MASHAIRI.WAENDE SHULE, WASIFANYE KAZI KAMA KONDOO TUUUU!
   
Loading...