Wizi wa fedha za mikopo Arusha University, nini kazi ya TCU?

SilvaG

Member
Jul 23, 2011
9
0
Board ya mikopo inafanya kosa kubwa sana, inaingia mikataba na wanafunzi, fedha zinapitia kwa chuo kumfikia mwanafunzi.

Kinachotokea ni hata wanafunzi wanasaini kiasi ambacho kikilipwa hawapewi mchanganuo wake na hivyo kujikuta wanadaiwa fedha ambazo wajanja(vyuo) walikula. Mfano halisi ni chuo cha University of Arusha, mwishowe inaleta migomo isiyo na maana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom