Wizi wa fedha kwenye ATM !!!!!!!


Wakuletwa

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
134
Likes
0
Points
33

Wakuletwa

Senior Member
Joined Oct 31, 2010
134 0 33
Salaam ndugu zangu, kuna utapeli umezuka kwenye huduma za benki hasa kwa wenye kutumia simu za mkononi kuhamisha au kupata huduma zozote za benki. Juzi nilikuwa NMB tawi la Morogoro road hapo Dar nilimuona dada mmoja akilalamika kuwa akaunti yake imekuwa ikihamishwa fedha na watu asiowajua. Ila chanzo kilikuwa hivi! Alipigiwa simu na watu waliojitambulisha kuwa ni watu wa benki na wanamtaka abadirishe namba yake ya siri anayotumia kwenye SIM bank kwani wanaboresha mfumo huo na alipofanya hivyo tu balaa likaanza kila akiweka hela akienda anakuta akaunti nyeupee yaani jamaa wanajichotea kama yao.
TAHADHARI usiweke wala kuandika popote namba yako ya siri ya benk weka kichwni kwako tu. Pia usikubali kuongea na yoyote kuhusu mambo yakibenki kupiatia simu. Ni bora uende benki mwenyewe.:target:
 

minda

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2009
Messages
1,069
Likes
15
Points
135

minda

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2009
1,069 15 135
asante sana pia tuzingatie haya
  • kama hujajiunga na nmb mobile bado hakikisha unailinda kadi yako kwani wajanja wanaweza kuchukua namba za a/c na kadi yenyewe kisha kujiunga kwa niaba yako!
  • kama umeshajiunga usimuoneshe hata ndg yako na. zako za siri za atm na nmb mobile.
 

Forum statistics

Threads 1,203,908
Members 457,007
Posts 28,134,384