Elections 2010 Wizi wa CCM hauvumiliki ni mzigo - Shein katwishwa dhamana ya wizi

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Unaweza kumjua nani ameshinda na nani ameshindwa katika picha hii ??

DSC09244.JPG
 
Hahahaha huyo shein anajinamia anaona haya
Na karibu watu wengi wameitafasiri hii picha kuwa inaonekena Shein anaona aibu kwa yaliyotokea na hawezi kabisa kabisa kumface Seif ,haijulikani itakuwaje katika mawasiliano yao ,wengine wanasema Shein amemwomba samahani Seif private ,na kumwambia Ikulu ni yake.
 
Mchungaji hakuna hata post moja ukaweka nisicheke.

Siasa ni mazingaombwe ndugu yangu! hebu fikiria Sitta alijaribu kupinga ufisadi japo kidogo, leo anaambiwa avae siketi awe na haiba kama ya mama Anna Makinda! Tukija mambo ya Zenj, Maalimu Seif huwa anashinda hiyo haina mjadala, lakini leo Shein ndiye raisi na Shariff anakenua meno!
 
Mwiba,
Kwa mujibu wa katiba sidhani kama Dr.Shein aliruhusiwa kupiga kura akiwa bara kwa uchaguzi wa Zanzibar maanake sidhani kama wananchi wote (Wazanzibar) wanaruhusiwa kupiga kura wakiwa vituo vya bara ktk uchaguzi wa Zanzibar. Kama hairuhusiwi basi ndio jujue tumeliwa. Mengi yamefanyika kinyume cha sheria lakini ndio hivyo tena gari bovu - sukuma twende!..
 
Back
Top Bottom