Wizi wa aina Yake, Kuweni makini na mtoe tahadhali kwa wengine

Asante kwa taarifa. Nitaanda daladala. Polisi wetu hawafanyi upelelezi kabisa wao wanataka kila kitu wapelekewe, hawajitumi.
 
siku nyingine usimsaidie mtu,akikufuata mtu anashida mwelekeze kituo cha polisi,kama kipo mbali mwonyeshe hata trafic au polisi walio jirani.Bila shaka hapo Benk palikuwa na Polisi.ungefanya hivyo.Dsm tumaishi kindava ndava,uso wa mbuzi,usiye n
Mjua hakuhusu hata kama anashida gani.Watu wameshalizwa sana kwa huruma zao.
 
Mimi sishangai intellijensia ya police wa tanzania kwa sababu wengi wa askari wake kwa ujumla ni wale wenye matokeo dhaifu kidato cha nne na hawakuwa na uwezo wa kuendelea na masomo ya kidato cha tano. Wakaona kujiunga na police ndiyo "shortcut kwao" Uwezo wa kuyafanyia mambo uchunguzi mimi naona unategemea educational performance which proportional to individual reasoning capacity.
Pia kuna baadhi ya askari wa jeshi la police wanatumia vyeti feki.
It means wao hawajapita shule ya sekondari au walifeli completely.
Katika hali kama hyo hata wakipewa training ya miaka ishirini kwa vilaza ni kupoteza muda.
Tanzania tunalindwa na mungu period.
 
Back
Top Bottom